AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
KARIBU TANZANIA: KARIBU NCHI YA KAMARI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kbsa umeongea jambo la muhimu sana. KudozNaanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
Hizi ni dalili za wazi za taifa kupoteza mwelekeo. Ukiona wananchi wanainiwa wazi wazi halafu wenye mamlaka wanaopaswa kusimamia sheria hawasemi kitu, basi ujue hii ni racketeering.Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
Yeah, linatengenezwa time bombUkiwa na aina ya siasa tulizo nazo hakuna rangi utaacha ona.
Anything to mesmerize the youth and get their minds off politics.
Half cooked tv channels and radio stations, foolish music and unschooled movies, imaginery celebrities, unrational punditry for games, gambling, etc etc.
Lakini bila mipango na juhudi madhubuti za uzalishaji mali, mkwamo na mlipuko utakuwa mkubwa sana huko mbeleni.
Na hili pia mkalitazameNaanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!?
Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!?
Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani hadi mishipa inamtoka.
Nakumbuka hayati Magufuli alizuia hizi kamari baada ya kuombwa na viongozi wa dini, ikawa banned kufanyika hadharani namna hii. Hivi sasa yoote imerudi .
Watu wanaibiwa tu. Hivi kwanini isifanyike kimyakimya. M mwenye shida aitafute huko kimyakimya.
Taifa linakuwaje la kiharamiaharamia namna hii na mamlaka husika za kulisimamia hili ni zipi!?? Au ndo tozo!?
Embu tulitafakari hili!?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]mtoto anabet...baba anacheza biko...mama tatu mzukaa 😀 😀 😀