Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

Ni kweli kbsa umeongea jambo la muhimu sana. Kudoz
 
Hata Simba na Yanga kwa sasa zinatangaza kampini za kamari kupitia jezi zao[emoji15][emoji15]
 
Hizi ni dalili za wazi za taifa kupoteza mwelekeo. Ukiona wananchi wanainiwa wazi wazi halafu wenye mamlaka wanaopaswa kusimamia sheria hawasemi kitu, basi ujue hii ni racketeering.

Sasa hivi bongo za vijana zinakuwa rewired kufikiri njia za mkato tu kujipatia kipato. Mabinti wanajiuza hadharani, vijana wao ni kamari tu, wasipokuwa na mitaji wakageuka panyaroad. Kama taifa tumekosa dira, tunajifariji kwa cheap politics, lakini hakuna nia njema kwa wananchi. Hii inaitwa legalized criminal gangs, kwa ajili ya kuwaibia wananchi wasio na ufahamu. Kama taifa tunaelekea shimoni.
 
Watu wanahitaji kulipa Bills sio kufurahisha watu
 
Ukiwa na aina ya siasa tulizo nazo hakuna rangi utaacha ona.

Anything to mesmerize the youth and get their minds off politics.

Half cooked tv channels and radio stations, foolish music and unschooled movies, imaginery celebrities, unrational punditry for games, gambling, etc etc.

Lakini bila mipango na juhudi madhubuti za uzalishaji mali, mkwamo na mlipuko utakuwa mkubwa sana huko mbeleni.
 
Yeah, linatengenezwa time bomb
 
Na hili pia mkalitazame
 
Bhalaa Gani Mpaka Redio Na Television Ya Taifa Nao Wanachezesha Kamari
 
Ongezea na kukata mauno mziki

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…