Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu.

Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi itatumbukia kwenye shimo.

Vituko vya Chaguzi zimewachosha wananchi, kiasi cha kungojea lolote wanaasi.
 
Kikubwa kwa CCM ni vipi waendelee kuwepo madarakani Ili wamalizie vilivyopo. Kama watu hawashitukii hili then nchi italiwa yote hadi mawe
 
Back
Top Bottom