Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy



usihangaishe sana kichwa

Jamaa ni mtu wa digital marketing na ana ushawishi wake twitter, of course couple yao ni maarufu sana twitter na ndoa yao imeisimamisha kiaina

ila ukija kwenye uhalisia, bado sanaa kuwa "celebrities" wa tz kwa sababu watu maarufu wa bongo hii ni aidha uwe kwenye Entertainment industry au siasa.

Hapo utaona mtu kama kigogo, maria Sarungi au Fatma wanatamba twitter ila wanajulikana hadi jf na street kiasi, ila waliopo kwenye technology ambao ndo wengi twitter ni bado sanaaa. Hiki ndicho mleta mada hataki kuamini
 
Unataka connection ya nini, na unafanya nini exactly na what do you need..?
Na mimi naomba connection ya kazi...nina degree ya Public relation na MBA sifanyi chochote nilikuwa mjasiliamali ila kakibanda kangu kamebomolewa
 
Taifa la twiter?
 
Hii ndo mibwabwa mivaa kaptula.
Usikute yanapumuliana kisogoni haya kuoa kuzuga tu.
 
Who are they?
They are only popular in ur mind,what have they accomplished in business establishment!
Am in business flatenity,but never heard of these guys,probsbly they reside in masasi,or kyelwa,tunduru,
 

Kwani kila alietoka anamjua huyo jamaa yako
 

Sasa mimi nasubiri msimu nikanunue alizeti Burundi au Singida mwezi wa tano, niweke vijunia vyangu 20 nasubiri kuuza mwezi wa 11 au 12 bei imepanda mara mbili huyo jamaa nitamjulia wapi? Halafu anasema C.E. O roundtable hivi mtu kama Kitana wa mwanza anajua hiyo roundtable inajishughulisha na nini?
 
Hahaha hizi comments dah

Ni comments nzuri hawa watu kazi yao kutishatisha watu mara fulani mara vile sasa unaweza kudhani upo nyuma sana kumbe wakiletwa mbele yako wao ni mbugila tu wako nyuma hata hawakufikii, sasa unataka kusema mwamba anaechukua kitunguu mang’ola kwa mwaka mzima yeye anaijua kenya na juba sudani kusini anawafahamu hao ili wamsaidie nini? Wakati huko tu anapiga pesa ndefu kuliko hao tunaolazimishwa tuwafahamu wana connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…