Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,449
Kumbe huyo dada alishawahi jifungua kwa operation? Pole yake anavyopambwa as if kamkuta bikra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huyo dada alishawahi jifungua kwa operation? Pole yake anavyopambwa as if kamkuta bikra.
mtoto wa huyo huyo jamaa ?Kumbe huyo dada alishawahi jifungua kwa operation? Pole yake anavyopambwa as if kamkuta bikra.
Tushangae wote😂😂😂😂Taifa lipi?
BullshitLeo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha
Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni
Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
hilo taifa letu linaitwaje ....huko tanganyika ndio kwanza wanasikia kuna kiumbe anaitwa lucyTaifa letu
dahhuo msiba wa mwendazake haukusimamisha taifa watoto waliemdelea na UE
Uzito upiLaiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha nini
Labda taifa la Gamboshi.Taifa lipi?
Soma post number moja uzito wake upo hapoUzito upi
Sasa km Taifa lenu! likisimama linatuhusu nini sisi?... wagagagigikoko? au....... ni ushamba wenu tu!! endeleeni kuwa Majuha!! sisi taifani kwetu tunapiga kazi kwa kwenda Mbele ...... iviiii!!Taifa letu
Huku watu wanatumia majina fake ndo maana kujuana ni ngumu acha ujingaWatu wa twitter lazima mjua JF ni jamii nyingine isiyoendekeza shobo! Humu hakuna kujuana humu watu hawatafuti likes na RT, humu watu hawatafuti followers... Kwa kifupi humu kile kijiji kisichokuwa na watoto hasa watoto kama wewe kwahyo huna budi kurudi ulipotoka!
Nawasilisha
Mjinga Mama yako mzaziHuku watu wanatumia majina fake ndo maana kujuana ni ngumu acha ujinga
Acha kujipendekeza kwa wanaume bwashee, huyo Gilsant si ajabu hata hakujui ila upo busy humu kumtetea na kulazimisha watu kumjua ilhali hajulikani.Atakuja kukula kitobo,shauri yako sasa. 😂😂😂😂Sitaki mimi na huyo shemeji yako unaemtegemea kwa kila kitu,atakuja kuwaoa wewe na dada ako mmuzalie mapacha
Angalia ulivyokua mjinga maswali ya wazazi yametoka wapi hii inaonyesha ulivyokua mjinga wa kukubuuMjinga Mama yako mzazi
Unavyosema hakuna hata mtu mmoja anayemjua umeshawauliza member woteKama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hata ujifiche vipi biashara yako itakufanya ujulikane
Hata bakhressa sio mtu wa kuonekana. Ila biashara zake zimempa umaarufu
Mfano mwingine ali mafuruki,marehemu zakaria,
Sasa huyo bwana harusi unaemsifia kasimamisha nchi na sifa za mfanyabiashara mkubwa unampatia, huku hakuna hata mtu mmoja anaemjua humu. Maana yake ni sifa za kijinga unampatia
Ohooo!!!!Jamaa simfahamu ila hiyo mbususu nimekula miaka kadhaa nyuma.
BTW hongera zao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa simfahamu ila hiyo mbususu nimekula miaka kadhaa nyuma.
BTW hongera zao.