Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy

Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii

Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc

Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha

Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni

Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji

Gillsant mlaseko ni nani?

Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing

Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa

Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481

View attachment 1992503
Bullshit
 
huo msiba wa mwendazake haukusimamisha taifa watoto waliemdelea na UE
dah

FB28C0E7-E582-4FD7-85BE-EE8BDD93064D.jpeg
 
Taifa letu
Sasa km Taifa lenu! likisimama linatuhusu nini sisi?... wagagagigikoko? au....... ni ushamba wenu tu!! endeleeni kuwa Majuha!! sisi taifani kwetu tunapiga kazi kwa kwenda Mbele ...... iviiii!!

Naomba kuuliza ''una Nywele Mkuu''??
 
Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hata ujifiche vipi biashara yako itakufanya ujulikane

Hata bakhressa sio mtu wa kuonekana. Ila biashara zake zimempa umaarufu

Mfano mwingine ali mafuruki,marehemu zakaria,

Sasa huyo bwana harusi unaemsifia kasimamisha nchi na sifa za mfanyabiashara mkubwa unampatia, huku hakuna hata mtu mmoja anaemjua humu. Maana yake ni sifa za kijinga unampatia
 
Watu wa twitter lazima mjua JF ni jamii nyingine isiyoendekeza shobo! Humu hakuna kujuana humu watu hawatafuti likes na RT, humu watu hawatafuti followers... Kwa kifupi humu kile kijiji kisichokuwa na watoto hasa watoto kama wewe kwahyo huna budi kurudi ulipotoka!

Nawasilisha
Huku watu wanatumia majina fake ndo maana kujuana ni ngumu acha ujinga
 
Sitaki mimi na huyo shemeji yako unaemtegemea kwa kila kitu,atakuja kuwaoa wewe na dada ako mmuzalie mapacha
Acha kujipendekeza kwa wanaume bwashee, huyo Gilsant si ajabu hata hakujui ila upo busy humu kumtetea na kulazimisha watu kumjua ilhali hajulikani.Atakuja kukula kitobo,shauri yako sasa. 😂😂😂😂
 
Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hata ujifiche vipi biashara yako itakufanya ujulikane

Hata bakhressa sio mtu wa kuonekana. Ila biashara zake zimempa umaarufu

Mfano mwingine ali mafuruki,marehemu zakaria,

Sasa huyo bwana harusi unaemsifia kasimamisha nchi na sifa za mfanyabiashara mkubwa unampatia, huku hakuna hata mtu mmoja anaemjua humu. Maana yake ni sifa za kijinga unampatia
Unavyosema hakuna hata mtu mmoja anayemjua umeshawauliza member wote
 
Back
Top Bottom