unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo akihamua akaongea wewe utamuelewaje rais utaona hafai sio?Kila sku unamponda na kumsimanga humu, leo unataka aongee na taifa, akishaongea badae umkosoe alichongea ...., mara alikosea kusema hvi, mara ana kibur, yaan bla bla nyingi...
fanyeni kazi zingine bhana aah
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uwezo gani alionao kwa mfano,sana sana ataishia kutupigia kelele za ccm oyee,na kututajia SGR na barabara ambazo yeye pekee ndo anajua zinajengwa wapiNilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi zile video za mauaji yako fake umeshapeleka kwa mabeberu wako huko US kama ulivyoahidi? Pia vipi biashara yako ya kuuza bia hapo Kenya inaendeleaje?Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Aongee na nan? Nan atamsikiliza? Tunawaza kulisha watoto na kupeleka shule watoto kwaugumu sana, yeye aendele na diamond wake sisi tunamsubir kwenye box la kura
Watu wanakula ndege? Ndege zina impact gani kiuchumi Tanzania?Hizo zilikuwa siasa za kitapeli uongo na udanganyifuwananchi wenyewe wanaona mabarabara, ndege, miradi mikubwa hakuna ujambazi hakuna wizi ajali zimepungua unataka aongee nn wakati matendo yanaongea shut up
Na kawaambia wananchi wake kuwa diamond ni mwanaume kweri kweriAmewaahidi wana Kigoma barabara ya Nyakanazi lami..
Period.
sisi tunamsubir kwenye box la kura
Uzuri mkuu unajulikana. Lazima umtaje JPM. Akae kimya. Aongee lazima utafute jambo. Utakuwa unaumwa ugonjwa mbaya sana. Stalker wa JPM. Embu Jaribuni kufanya kazi na kusifia vyenu. Ukiona mtu anamtaja sana mtu mwingine ujue anampenda. Au kalipwa. Au njia zake ovu zimeminywa So tell us which one.
Waulize TISS CCM waliotumwa Kenya kunitafuta watakujibuVipi zile video za mauaji yako fake umeshapeleka kwa mabeberu wako huko US kama ulivyoahidi? Pia vipi biashara yako ya kuuza bia hapo Kenya inaendeleaje?
Nani akutafute wewe mvuja jasho tu! Bia zenyewe unauza crate moja kwa week!
Unaonekana una mapesa we jamaa!Nani akutafute wewe mvuja jasho tu! Bia zenyewe unauza crate moja kwa week!
Ndiyo!! Tunachapa kazi kama kawa!
Kwanini chadema ndio mnataka aongee ili iweje mnamchukia ila unataka awambie kitu,kajuzeni hukohukoNilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wachawi huwanga zaidi mida gani?Kahutubia tamasha la Diamond huko kigoma saa 8 usiku kwa hotuba kali ya " CCM OYEEE "