Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?


Jamaa sio presidential material. Get used to it
 
Rais Magufuli hapendi unafiki ! Anaongea na wananchi kwa vitendo. Akiwa ziarani mikoani huongea na wanainchi live !
 
Mbona kuna clip nimeioma akihutupia uwanja wa mpira kigoma polepole na diamond wameweka loud speaker au haikuwa hotuba?

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Aongee na nan? Nan atamsikiliza? Tunawaza kulisha watoto na kupeleka shule watoto kwaugumu sana, yeye aendele na diamond wake sisi tunamsubir kwenye box la kura

Unaota ndoto! Sahau habari ya sanduku la kura.
 
Atakuwa kwenye mapumziko ya mwishoni wa mwaka, kwani anayekaimu urais hajatoa hiyo hotuba
 
Kaishia kumpigia simu Mondi Jukwaani

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 

Tuna Rais wa ajabu kuwahi kutokea.
 
Hivi siyo kaenda kumuuguza mamake? Maana mwanzo alisema alikuwa anashindwa kuhamia Dodoma kutokana na kuuguliwa ma mamake. Nina imani ana taarifa za msiba wa mamake Kabendera kwakuwa hapo alipo ni jirani na Kagera bila shaka atakwenda mazishini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi anaongea na taifa kila anapohutubia kwenye matukio mbalimbali. Hata suala la uchaguzi wa serikali za mitaa alishalitolea tamko.
 
Unataka aongee ili upate cha kuandika na kumkosoa? Acha unafiki
 
Haongei wala hato misaada kwenye vituo vya yatima wakati wa sikukuu kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake. Dah, ana roho ya ajabu kweli kweli.
 
Hatua zipi ulitaka azichukue kwa matukio yapi,hayo matukio ya kujitakia na uzushi ulitaka ayaongelee yeye badala ya jeshi la polisi, ivi ujue Rais ni mtu mkubwa sana hawezi kuongelea mambo yasiyokuwa na uhalali na anapochukua hatua anakuwa tayari ameshafanyia uchunguzi wa kina kwani anajua yeye anasikilizwa na dunia nzima hawezi kuongelea uvumi ili ijulikane amekubaliana nayo. Halafu Ulitaka aongee mara ngapi,kwani hukumsikia akiwa kanisani chato akiongea au unataka arudie vipindi vya nyuma kama wanavyofanya kwenye television.
 
Ndo shida ya kuwapa washamba majukumu mazito ya kitaifa!
Ndio wewe wa mjini usiyejua umjini ni kuwa na miundo mbinu iliyo bora au unafikiria umjini ni kwenda kusifia nchi za wenzetu
 

Si lazima azungumze kama utakavyo Wewe lakini anaweza Kuzungumza Kiutendaji zaidi kupitia Watendaji wake kwa Lugha ya Kimaendeleo zaidi ambayo inaonekana kwa Watanzania wenye Kuona na Kupima mambo bila Unafiki, Uanaharakati au Itikadi. Tuacheni Kukariri kwamba ni lazima mtindo ambao ulikuwa ukifanywa na Kiongozi fulani basi ni lazima na wanaokuja nao wauige huo huo hapa tutakuwa tunafanya Kosa kubwa sana na Kutomtendea Haki huyo aliyeko sasa.
 
NDUGU BADO UNAISHI MAISHA YA AWAMU YA NNE,Pole sana
 
Kelele zote hizi ni kwa sababu wapiga polishi na wachoma mishikaki kumbe kazi zao halisi ni ujambazi, sasa wamebanwa kila kona hivyo sasa hivi wanarangwa rangwa. Sijui wakitumia detol itasaidia
 
Ndio wewe wa mjini usiyejua umjini ni kuwa na miundo mbinu iliyo bora au unafikiria umjini ni kwenda kusifia nchi za wenzetu

Miundombinu bila maisha na utawala bora ni umaskini...!!
Alafu fahamu kuwa ushamba si umjini na ukijijini... Ni mtazamo wa akili ya mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…