Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

Labda walitaka waokolewe na wafugaji.
 
Kwa hiyo ulitaka watu wakae tu bila kutoa misaada wa kuokoa hadi unaowataja waje. Umechelewa sana, wahi.
 
Huenda hiki ulichoongea ndio UPUUZI wa kiwango cha juu kutokea kwa mwaka huu.
 
ccm na machawa wao yanaweza wiz wa kura tu hapo kila chombo cha serikali kingekuja haraka majinga kabisa
 
Huko Ulaya ushawahi ona askari wamesimama, viongozi wanakwenda na suti mpaka miavuli kuwa angalia Raia wa kawaida wakiokoa...?

Kwani ni Chadema ndiyo walinunua MaV eighty badala ya vifaa vya uokoleaji. Au ni wao ndiyo waliona magali ya washawasha ni muhimu kuliko kujenga control tower Bukoba airport.....!!?

Failure ya CCM na serikali yake unawasukumia Chadema. Shaka bila aibu anaendelea na kongamano la kupongeza Maza wakati hali ni tete.
 
sawa
 
Hakuna majungu pale wanaongea ukweli kama wapinzani. Mnaendekesa anasa kwa pesa za mikopo na kusahau wananchi
 
CHADEMA hawapo kwenye vikao vya maamuzi ya nchi wala vikosi vya uokoaji.Sasa ukisikia watu mabarabarani wanabishana au kupeana habari za ajali kwa namna usiyoipenda tu,wanakuwa CHADEMA?Fanyeni wajibu na majukumu yenu.Acheni kusingizia,kuchonganisha na kutafuta huruma ya watu wasiohusika na mapungufu yenu.Anza kwa kujiuliza,serikali imekwama wapi kimiundombinu,ujuzi na utayari.Ndipo utafute sababu za nje.
 
Kweli eti ndege inavutwa na kamba tena yenye watu ndani, najiuliza kungekua na mawaziri ndani wangefanya hivi? Hawa raia hawakustahili kufa kabisa aisee
 
Kwa hiyo ulitaka watu wakae tu bila kutoa misaada wa kuokoa hadi unaowataja waje. Umechelewa sana, wahi.

Nani kasema watu wakae tu?. Ni kwamba helicopter inamleta Waziri Mkuu wa kazi gani baadala ya kuleta timu ya waokoaji?.
 

CHADEMA itawatesa Sana pamoja na kuifunga miguu na mikono lakini bado mnaipa shutuma ambazo sio zake. Nakushauri uKasome press release ya CHADEMA ya Jana. Ipo straight forward. Imepongeza wananchi waliojitoa kuokoa miili , imeelezea masikitiko yake na imetoa ushauri nini kifanyike. Ipo very balanced.

Tena ukiisoma vizuri hiyo press release hakuna sehemu imeilaumu serikali ya CCM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…