Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Labda walitaka waokolewe na wafugaji.
 
Nani kalaumu raia kufanya uokoaji na sio chadema kila mwenye akili timamu ameona upumbavu wa serikali yetu na amepaza sauti. Wanajeshi wa majini wangewahishwa on time naamini wote wangetoka hai... Majaliwa kapata helkopta ya kwenda huko lakini sio watu ambao wangetoa msaada kwa waliokutwa na janga funga kopo sio kila kitu lazma mzungumze
Kwa hiyo ulitaka watu wakae tu bila kutoa misaada wa kuokoa hadi unaowataja waje. Umechelewa sana, wahi.
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Huenda hiki ulichoongea ndio UPUUZI wa kiwango cha juu kutokea kwa mwaka huu.
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
ccm na machawa wao yanaweza wiz wa kura tu hapo kila chombo cha serikali kingekuja haraka majinga kabisa
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Huko Ulaya ushawahi ona askari wamesimama, viongozi wanakwenda na suti mpaka miavuli kuwa angalia Raia wa kawaida wakiokoa...?

Kwani ni Chadema ndiyo walinunua MaV eighty badala ya vifaa vya uokoleaji. Au ni wao ndiyo waliona magali ya washawasha ni muhimu kuliko kujenga control tower Bukoba airport.....!!?

Failure ya CCM na serikali yake unawasukumia Chadema. Shaka bila aibu anaendelea na kongamano la kupongeza Maza wakati hali ni tete.
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
sawa
IMG_20221106_221342.jpg
 
Hakuna majungu pale wanaongea ukweli kama wapinzani. Mnaendekesa anasa kwa pesa za mikopo na kusahau wananchi
 
CHADEMA hawapo kwenye vikao vya maamuzi ya nchi wala vikosi vya uokoaji.Sasa ukisikia watu mabarabarani wanabishana au kupeana habari za ajali kwa namna usiyoipenda tu,wanakuwa CHADEMA?Fanyeni wajibu na majukumu yenu.Acheni kusingizia,kuchonganisha na kutafuta huruma ya watu wasiohusika na mapungufu yenu.Anza kwa kujiuliza,serikali imekwama wapi kimiundombinu,ujuzi na utayari.Ndipo utafute sababu za nje.
 
Kweli eti ndege inavutwa na kamba tena yenye watu ndani, najiuliza kungekua na mawaziri ndani wangefanya hivi? Hawa raia hawakustahili kufa kabisa aisee
 
Kwa hiyo ulitaka watu wakae tu bila kutoa misaada wa kuokoa hadi unaowataja waje. Umechelewa sana, wahi.

Nani kasema watu wakae tu?. Ni kwamba helicopter inamleta Waziri Mkuu wa kazi gani baadala ya kuleta timu ya waokoaji?.
 
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.

Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?

Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?

Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?

CHADEMA itawatesa Sana pamoja na kuifunga miguu na mikono lakini bado mnaipa shutuma ambazo sio zake. Nakushauri uKasome press release ya CHADEMA ya Jana. Ipo straight forward. Imepongeza wananchi waliojitoa kuokoa miili , imeelezea masikitiko yake na imetoa ushauri nini kifanyike. Ipo very balanced.

Tena ukiisoma vizuri hiyo press release hakuna sehemu imeilaumu serikali ya CCM .
 
Back
Top Bottom