kalamuyangu1
Member
- Aug 3, 2020
- 11
- 12
Siku ya jana nilishangazwa sana. Kila channel niitafutayo nakutana na mambo nisiyoyatarajiaHiyo Rapid response uliiona Jana?Cha ajabu hata vituo vyetu viliendelea na nyimbo za kwaya badala ya live coverage,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya jana nilishangazwa sana. Kila channel niitafutayo nakutana na mambo nisiyoyatarajiaHiyo Rapid response uliiona Jana?Cha ajabu hata vituo vyetu viliendelea na nyimbo za kwaya badala ya live coverage,
Labda walitaka waokolewe na wafugaji.Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Kwa hiyo ulitaka watu wakae tu bila kutoa misaada wa kuokoa hadi unaowataja waje. Umechelewa sana, wahi.Nani kalaumu raia kufanya uokoaji na sio chadema kila mwenye akili timamu ameona upumbavu wa serikali yetu na amepaza sauti. Wanajeshi wa majini wangewahishwa on time naamini wote wangetoka hai... Majaliwa kapata helkopta ya kwenda huko lakini sio watu ambao wangetoa msaada kwa waliokutwa na janga funga kopo sio kila kitu lazma mzungumze
Huenda hiki ulichoongea ndio UPUUZI wa kiwango cha juu kutokea kwa mwaka huu.Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Vyombo vyetu vya habari vinatuangusha sanaSiku ya jana nilishangazwa sana. Kila channel niitafutayo nakutana na mambo nisiyoyatarajia
ccm na machawa wao yanaweza wiz wa kura tu hapo kila chombo cha serikali kingekuja haraka majinga kabisaUkitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Kabisa,Pumba za kiwango cha standard gaugeMimi sio chadema wala ccm.
Na hapa umeandika pumba
Huko Ulaya ushawahi ona askari wamesimama, viongozi wanakwenda na suti mpaka miavuli kuwa angalia Raia wa kawaida wakiokoa...?Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
sawaUkitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa Chadema anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana Chadema nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
Labda walitaka waokolewe na wafugaji.
Nadhani walipewa maagizo.Vyombo vyetu vya habari vinatuangusha sana
Kwa hiyo ulitaka watu wakae tu bila kutoa misaada wa kuokoa hadi unaowataja waje. Umechelewa sana, wahi.
Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa.
Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi?
Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.?
Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?