Taifa lipo kwenye hofu kubwa, mnapopotosha umma ni kama mnachochea moto

Nipe location, Niko Mbeya nitarushia kule nikipata location zenye mvuto

Hongera kaka kiongozi, kwa Mbeya narecommend kama utakuwa na muda unaweza kufunga safari ya kwenda kutembea hifadhi ya mlima Rungwe, Mlima wa tatu kwa urefu Tanzania, Mlima Rungwe wenye Urefu wa mita elfu mbili mia tisa themanini na moja (2981) maalum kwa wanamazoezi wapanda milima (Mountain Hikers),

Huko utaweza kuona aina ya viumbe hai ambao wanapatikana katika hifadhi hiyo dunia nzima, viumbe hao ni nyani aina ya Kipunji (Rungwecebus kipunji) aligundulika 2003.
Vivutio vingine ni Maji moto, Mashimo ya volcano Kama vile Paluvalalutali, Lusiba na Ng’ombe ambayo mashimo hayo kwa sasa yamekufa (Dead volcanic craters).

Wanyama wadogo wadogo zaidi ya aina mia tano (500) kama vile Minde (Abbot duiker), chura wekundu, mijusi, nyoka wa nchi baridi, panya nk pia Aina zaidi ya mia nne (400) za mimea hupatikana ambayo baadhi ya mimea hiyo hutumika kama dawa za asili kwa wakazi.
Pia usisite kwenda kuangalia maajabu ya Ziwa Ngozi mkuu, hutojutia muda wako.

Mengi zaidi tutaenda kuzungumza kwenye husika mkuu 😅

Dada Paula Paul tafadhari pita hapa.
 
Hahahaha asante sana, ratiba haitaniruhusu! Dah, sawa tukutane kwenye mada husika! Barikiwa
 
😅 sawa sawa chief, mimi sasa nimejifungia ndani na corona hii ila soon natafuta pori la kwenda kujichimbia.
 
Hakuna kitu kibaya kama hofu na tena hofu ya kufa. Kila Mtanzania sasa hivi ana hofu kubwa sababu hali ya huu ugonjwa unaoingamiza kwa hapa Tanzania hijulikani ipo katika level gani. Nasema hivyo sababu bado sijasikia toka kwa mamlaka husika kuwa maambukizi yanaaendelea kushika kasi? Yamepungua? Au yameisha?

Kwa hali kama hii inapotokea watu wananza kuendelea kutoa habari kuwa bado kuna watu wanakufa na kuzikwa usiku tena bila heshima na habari zenyewe hazijathibitishwa na wengine kuweka picha za watu wanazikwa ili hali sio hapa Tanzania sio jambo zuri.

Wengine wanaleta habari kuwa bibi zao wamezikwa bila heshima. Sasa kama hakuwa mgonjwa wa Covid -19. Kwa nini msiende kulalamika kwenye mamlaka za juu. Na ikibidi mfungue hata kesi.

Maana kuna watu wengi tunasikia wanapoteza jamaa zao na wanaruhusiwa kwenda kuwazika. Iweje nyie ndugu zenu ambao hawakuugua Covid -19 wazikwe na serikali!

Jambo la msingi tupo katika janga baya sana. Tuache upotoshaji na tuonyeshe uzalendo na Umoja.
Chagu umeanza vizuri kwa kutaka kuhoji umakini wa serikali ku handle pandemic hii tulionayo sasa hivi. Lakini mwishoni ukahukumu wanaolia kwa kufiwa wapendwa wao kutokana na kadhia yenyewe !!.
Yoote hii unatafuta nini nghwana wise ?!.

Corona siyo ugonjwa wa WaTz tu, kiasi tujisikie aibu !!. Ni swala la dunia nzima. Na kupiga watoto wako, kisa wanasema baba haitunzi family vizuri , hakuondoi tatizo nyumbani .

Odhis *
 
Hii nchi mpaka ccm itoke ndio itakuwa vizuri. Halafu kuna watu hawafai kabisa kuongoza mfano mtu anajificha wakati ndio alihitajika zaidi yeye anavua samaki, jamani!
Hoja zengine hazina hata maana kuzing'ang'ania maana huyo Magufuli hata akija Dar sio kwamba mtakusanyika nae mitaani bado atakuwa Ikulu ambapo ni vilevile sawa na aliko huko Chato. Ingekuwa mambo yamesimama kwa kukosekana uwepo wake hapo kweli tungesema kajificha anatakiwa atoke huko mafichoni.

Hata akija Dar bado maisha yake hayako sawa na yetu.
 
Chagu umeanza vizuri kwa kutaka kuhoji umakini wa serikali ku handle pandemic hii tulionayo sasa hivi. Lakini mwishoni ukahukumu wanaolia kwa kufiwa wapendwa wao kutokana na kadhia yenyewe !!.
Yoote hii unatafuta nini nghwana wise ?!.

Corona siyo ugonjwa wa WaTz tu, kiasi tujisikie aibu !!. Ni swala la dunia nzima. Na kupiga watoto wako, kisa wanasema baba haitunzi family vizuri , hakuondoi tatizo nyumbani .

Odhis *
Jaduong unanchosema ni kweli lakini hili janga lisitumike kupotosha watu na kuwatia hofu kubwa. Mfano mtu anaweka picha ya majeneza ya watu wanaozikwa huko Chile alafu anadai hapa ni Tanzania.
Alafu kwa akili ya kawaida tu mtu kama ndugu yako amezikwa usiku kwa nini usiende kwenye vyombo vya habari ili uweke huo uovu hadharani. Mimi niliona kitu kama hiki kilifanyika Kenya na wanafamilia walilalamika mpaka kwenye Tv stations. Lakini mtu anaamua kuongea jambo ambalo halina ukweli sio vizuri.
 
Vipi Kama wengine Wana ushahidi wa wanayoongea?

Sent using LEAGOO M12
 
Hoja zengine hazina hata maana kuzing'ang'ania maana huyo Magufuli hata akija Dar sio kwamba mtakusanyika nae mitaani bado atakuwa Ikulu ambapo ni vilevile sawa na aliko huko Chato. Ingekuwa mambo yamesimama kwa kukosekana uwepo wake hapo kweli tungesema kajificha anatakiwa atoke huko mafichoni.

Hata akija Dar bado maisha yake hayako sawa na yetu.
Anashindwa hata kuhudhuria mazishi ya watu mashuhuri na mawaziri wake kuna kasoro hapo.
 
Yaani, Kwa tulipofikia kila mtu awe makini kumambania uhai wake.
 
Hongera kaka kiongozi, kwa Mbeya narecommend kama utakuwa na muda unaweza kufunga safari ya kwenda kutembea hifadhi ya mlima Rungwe, Mlima wa tatu kwa urefu Tanzania, Mlima Rungwe wenye Urefu wa mita elfu mbili mia tisa themanini na moja (2981) maalum kwa wanamazoezi wapanda milima (Mountain Hikers),

Huko utaweza kuona aina ya viumbe hai ambao wanapatikana katika hifadhi hiyo dunia nzima, viumbe hao ni nyani aina ya Kipunji (Rungwecebus kipunji) aligundulika 2003.
Vivutio vingine ni Maji moto, Mashimo ya volcano Kama vile Paluvalalutali, Lusiba na Ng’ombe ambayo mashimo hayo kwa sasa yamekufa (Dead volcanic craters).

Wanyama wadogo wadogo zaidi ya aina mia tano (500) kama vile Minde (Abbot duiker), chura wekundu, mijusi, nyoka wa nchi baridi, panya nk pia Aina zaidi ya mia nne (400) za mimea hupatikana ambayo baadhi ya mimea hiyo hutumika kama dawa za asili kwa wakazi.
Pia usisite kwenda kuangalia maajabu ya Ziwa Ngozi mkuu, hutojutia muda wako.

Mengi zaidi tutaenda kuzungumza kwenye husika mkuu [emoji28]

Dada Paula Paul tafadhari pita hapa.
Hakika unajua kuelezea vizuri sana. Naomba Corona ikiisha hali ikierudi shwari unisindikize na mimi niende. Ila maeneo ya chura , mijusi, nyoka usinipitishe.

Si umekubali Mla Bata? I will not take No for an answer .
 
Back
Top Bottom