Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

Taifa lisilo na siasa safi na viongozi bora haliwezi kujali maslahi ya wananchi wa kawaida

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.

Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu kupata, kama ni wakulima basi hulima ili kupata mlo tu'.

Watu wa namna hii wanapokuwa na taifa la wanasiasa waliotawaliwa na siasa mbovu watakuwa watu wa kupata tabu tu. Maana siasa ndio maisha ya kila siku ya watu, siasa bora huleta elimu bora, ajira bora na ustawi wa taifa bora.

Mbaya zaidi taifa la Tanzania limekuwa na wanasiasa wa hovyo ambao walishasahau kuwa kuna kulala njaa, kutembea peku, na hata kuhara tumbo na mtu ukakosa dawa.

Hawa ndio viongozi ambao Mwl Nyerere alishawahi kusema ni viongozi wa hovyo wasiofaa katika taifa hili. Mfano ni Mwigulu Nchemba, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.
 
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.

Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu kupata, kama ni wakulima basi hulima ili kupata mlo tu'....
Unamsema huyu hapa zamani na baada ya kuwa Waziri;

IMG-20210719-WA0045.jpg


IMG-20210716-WA0066.jpg
 
Back
Top Bottom