Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

This thread is in-congruent to us. It has not happened , and we hope it will never happen.
 
Kama ni kweli basi mzalendo wa kweli ni yule aliyejitoa kummaliza mzalendo wako.
 
Bado mzimu wa jeipiemu unakusumbua.

Kuwa mpole
 
We taga vipi,unataka kusemaje?

Baba yako alikuwa na matatizo ya moyo. Alikuwa anatumia moyo wa umeme halafu akaleta ubishi kwenye korona. Korona inawaonea sana wenye matatizo ya kiafya.

Kwa hiyo baba yako dikteta jiwe alikufa kwa korona. Kama ni laana utapata wewe unayezusha vitu ambavyo havipo!
 
Hiyo laana naielekeza kwa wote waliohusika kwa namna yoyote ile! Laana na iwatafune vizazi vyao vyote kwa jina la Mungu aliyehai, kwa jina la Yesu Kristo, amen!
Tanzania Mungu tunaomba uendelee kutuletea manabii wa mfano wa JPM, amen!
Kwa kuongezea, laana iwafikie wote waliohusika kuivuruga demokrasia, waliotoa amri ya kupigwa risasi tundu lissu, waliohusika na kupotea kwa Beno sanane na azory, waliowanyanyasa vyama pinzani kana kwamba wao wanahati miliki ya kuongoza nchi hii
 
umeshiba maharage ya wapi wewe?
 
tatizo lenu mkiitaja tanzania mnajua Tanzania ni wasukuma tu, kuna na makabila mengine jamami, mwacheni mwenda zake aende zake wengine tuliteseka sana, KILA KITU KANDA YA ZIWA, KILA KITU GEITA, KILA KITU CHATU. POOR MAGUFULI
 
Mtoa mada pole Sana, hii kazi ya kueneza chuki za kijinga zisizo na msingi ni ngumu Sana. Unapoteza muda tu hautofanikiwa, labda ungewatafuta mambulula wenzako pengine ungeweza kuwaaminisha hayo, unajiaibisha bure
 
Ulikuwa muimba mapambio umegeuka ghafla

Nimemgeuka nani🙄🙄🙄

JPM atabaki kuwa mwamba, shujaa na Rais wa karne

Wacha kazi iendelee na Ironlady SSH zao halisi la shujaa chini ya serikali makini ya CCM

Upo!?
 
Japokuwa upo nje ya mada ngoja nikujibu.

Kuwa mteja wa corner Bar afrika sana ndio sababu ya kuwa na ukimwi?

Kunywa kikombe Loliondo ndio sababu ya kuwa na ukimwi? Tumia akili we boya.
Kwa hiyo shughuli kubwa ya Corner Bar huijui? Au uko Biharamuko sijui Geita.?

Kwa taarifa yako Corner Bar ndiyo soko la changudoa. Changudoa ni Malaya wanaouza ngono. Mwendazake hata condom alikuwa haijui
 
Hahahaha. Watu mna data aiseeee
Kwenye mambo ya ngono alikuwa Hana simile. Wanawake wote kwenye cabinet yake yaani akina Jenista, Kairuki, Ummy Mwalimu, Jokate kwapitia mpaka wengine kawazalisha watoto
 
Kwenye mambo ya ngono alikuwa Hana simile. Wanawake wote kwenye cabinet yake yaani akina Jenista, Kairuki, Ummy Mwalimu, Jokate kwapitia mpaka wengine kawazalisha watoto
Huna akili pumbavu usiejitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…