Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

Lumumba Patrick hakuwahi kuua hata MTU mmoja, lakini tumeambiwa kuacha uchochezi, kazi iendelee wacha mambo yako
 
ukiniambia gadafi wa irak nitakuelewa maana wengi tunajua watu wake walikula bata!!not otherwise
Sasa unawezaje kula bata kabla ya kutengenezewa mazingira ya kumla?
 
Huna akili we boya. Ulichoandika unauthibitisho nacho? Kinahisika vipi kwenye hii mada?
Alikuwa mteja wa Corner Bar pale Afrika Sana miaka anafanya Masters UDSM.

Halafu alikwenda Loliondo kunywa kikombe cha Babu Mwaisapile mwaka 2010 akdhani atapona UKIMWI.

Sijui boya ni nani kati ya Mimi na wewe Nyankurungu2020

Mwendazake alikuwa nyanya mbovu tu, yale ma push ups alikuwa anawakoga nyinyi tu
 
Japokuwa upo nje ya mada ngoja nikujibu.

Kuwa mteja wa corner Bar afrika sana ndio sababu ya kuwa na ukimwi?

Kunywa kikombe Loliondo ndio sababu ya kuwa na ukimwi? Tumia akili we boya.
 
Kipindi cha Mwendazake wajinga kama huyu mleta mada ndio walioonekana ni wazalendo na watu wenye maarifa!
Nyie kina Makonda,Musiba, Matefu na wengineo wengi tulieni au mchutame kwani ni Mwenyezi Mungu muweza na muumba wa mbingu na Nchi ndiye aliyeamua kumchukua mja wake ambaye alikuwa ndiye " Mungu" wenu!
Kwa hiyo ufalme wenu ulisitishwa rasmi tarehe 17/03/2021!
Nyie watu msiojulikana Tanzania sasa si mahali salama kwenu tena! Mlifanya watu waishi kwa hofu kama digidigi, sasa ni zamu yenu kuishi kwa hofu kama digidigi!
Amini nawaambia wale msiojulikana mliomo ndani ya CCM kazi ya kuwang'oa na kuwatupa mithili ya magugu mwitu ndani ya shamba la ngano itakamilika mwakani wakati wa uchaguzi ndani ya Chama!
Ufalme wenu ulilaaniwa mapema sana na hautakaa usimame tena katika miongo ya hivi karibuni!
Ndani ya miaka 5 na ushee mliposimika utawala wenu Tanzania imeshuhudia uharibufu,damu na vilio ambavyo hatukuwahi kuona tangu Nchi hii ipate Uhuru wake!
Watu wenye maarifa na wapiganaji wa kweli wawapo vitani huwa hawapigi kelele utaona vitendo tu!
Unaona watu wenu " wanavyoliwa vichwa" ,unaona kiongozi mwenye maarifa anaongoza sasa hadi Selemeni Jafo ( Mzee wa Nyungu sessions) anavaa barakoa! Mama wa komedi ( Waziri wa Afya) sasa amesahau Brenda ya kusagia juice zake!
Veronica Franace, Nagastractract na huyu Kunguru mleta mada bado hamjalia!, mtalia saaaaaaana!
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano, KAZI IENDELEEE × 10 !!!!!!!
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Mwendazake hakuwa mlinzi wala nini, naye alikuwa anajikimu na hizo raslimali. Kama kuna laana yoyote, itawatafuna yeye na chawa wake. Waligeuka miungu watu. Hakukuwa na namna yoyote hata ya kupiga kelele ya mwizi. Aliziba kila mahali.
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Wewe kwanza jifunze tofauti ya "kauwawa" na "kauawa" kabla ya kujishebedua hapa.

Nani kauawa?
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Fanya mpango utusaidie kuua mmoja Ili tuone kama ni kweli. Wengine Mungu anawaua kwa sababu ya machukizo yao. Basi wapiga rangi kila siku wanakuja kivingine. MATAGA wanataga Mayai ya kila rangi. Hebu acheni nchi ipumue.
 
Kipindi cha Mwendazake wajinga kama huyu mleta mada ndio walioonekana ni wazalendo na watu wenye maarifa!
Nyie kina Makonda,Musiba, Matefu na wengineo wengi tulieni au mchutame kwani ni Mwenyezi Mungu muweza na muumba wa mbingu na Nchi ndiye aliyeamua kumchukua mja wake ambaye alikuwa ndiye " Mungu" wenu!
Kwa hiyo ufalme wenu ulisitishwa rasmi tarehe 17/03/2021!
Nyie watu msiojulikana Tanzania sasa si mahali salama kwenu tena! Mlifanya watu waishi kwa hofu kama digidigi, sasa ni zamu yenu kuishi kwa hofu kama digidigi!
Amini nawaambia wale msiojulikana mliomo ndani ya CCM kazi ya kuwang'oa na kuwatupa mithili ya magugu mwitu ndani ya shamba la ngano itakamilika mwakani wakati wa uchaguzi ndani ya Chama!
Ufalme wenu ulilaaniwa mapema sana na hautakaa usimame tena katika miongo ya hivi karibuni!
Ndani ya miaka 5 na ushee mliposimika utawala wenu Tanzania imeshuhudia uharibufu,damu na vilio ambavyo hatukuwahi kuona tangu Nchi hii ipate Uhuru wake!
Watu wenye maarifa na wapiganaji wa kweli wawapo vitani huwa hawapigi kelele utaona vitendo tu!
Unaona watu wenu " wanavyoliwa vichwa" ,unaona kiongozi mwenye maarifa anaongoza sasa hadi Selemeni Jafo ( Mzee wa Nyungu sessions) anavaa barakoa! Mama wa komedi ( Waziri wa Afya) sasa amesahau Brenda ya kusagia juice zake!
Veronica Franace, Nagastractract na huyu Kunguru mleta mada bado hamjalia!, mtalia saaaaaaana!
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano, KAZI IENDELEEE × 10 !!!!!!!
Chukua 10. Uko wapi tutoke auti leo?
 
Magufuli mwenywe alikuwa spanna mkononi ndiyo wajinga walikuwa wanataka aongezewe muda. Jitu linaumwa UKIMWI toka miaka ya 1990s, limewekewa betri kufuani, lina diabetes halafu ni Bipolar lisingeweza kukatiza kwenye upepo wa COVID19
Hahahaha. Watu mna data aiseeee
 
Unamaanisha mtu pori jiwe the son of chattle land of cattle
Haahaaahaa yaani Kama ndio walimfanya hivyo yule mshamba
(in mzee kinana voices)
Nawapa big up hao wachinja chinja maana wamefanya kazi kubwa kuondoa takataka ya kihutu iliyojipachika usukuma toka huko Burundi !

Anyway

Rubbish thread!
🚮🚮🚮
 
Musiba umeingia kwa namna ya kipekee ila unajisumbua sana maana tupo awamu ya 6.

Mbwembwe zako ziliishia awamu ya 5 ambayo ulikuwa unavumiliwa tu lkn sasa utaishia pabaya.
Ntoke vipi 🤣 🤣 🤣 🤣. Mulaga
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Kwani korona ikiua mtu... hivi mtuhumiwa hapo anakuwa nani kwa mfano?
 
Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake.

Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafidadi na walafi wa kutafuna mali za umma. Taifa lao pamoja na utajiri wa mali asili lakini lina umaskini mkubwa. Vita vya wenyewe kwa wenyewe visivyokwisha na matatizo lukuki.

Hui ni mfano tu wa namna damu ya kiongozi wa taifa ambaye ni mzalendo anapouwawa na kisha laana kulikumba taifa.

Watanzania tujitafakari sana.
Nitaendelea kumtafuta aliyetuondolea ile laana nimpe zawadi kubwa! Laana ndiyo iliyoondoka! Nchi imetulia hata tukila kande tuna raha. Siyo kuwa na Dubwana linatuua, kututeka na kutuibia huku linatuahidi asali na maziwa. Litokomee kabisa!!
 
Back
Top Bottom