Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

Kwani mama hajasema na wajomba zake watufanyie wepesi...😅
 
Kocha atazingatia hilo
 
Usijipe matumaini ya kwamba hii mvua labda itapungua na kuwa manyunyu kwa sababu imeshanyesha vya kutosha!.....

Ama inanyeshea kwenye ardhi yake ya siku zote basi inshallah itabadilika kuwa manyunyu!!!! BIG NO!
 
Muda huo ntakuwa bize na shemeji yenu nikijipigia magori kama vile halaand,,,,sina time na timu ya taifa lolote liwakute tu
Sawa,na wewe likukute

Naomba jogoo wako asimame nusu mlingoti,
 
Usijipe matumaini ya kwamba hii mvua labda itapungua na kuwa manyunyu kwa sababu imeshanyesha vya kutosha!.....

Ama inanyeshea kwenye ardhi yake ya siku zote basi inshallah itabadilika kuwa manyunyu!!!! BIG NO!
Aahaaaa,weka utabiri wako
 
Tisijichanyanye kufunga goli"Ni sawa na kulala na demu mwenye ngoma,unaruhusiwa kumtomasa tomasa lakini
Ahaaaa,na sidhani kama Algeria watatuacha hivi hivi,kikubwa ni kupambana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…