Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

Muda huo ntakuwa bize na shemeji yenu nikijipigia magori kama vile halaand,,,,sina time na timu ya taifa lolote liwakute tu
Mwachie shemeji aishangilie timu ya taifa,wewe huna interest,yeye ana interest.
 
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika

Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote siyo lazima iwe nyumbani

All the best
Utabiri:
Algers 1-2 Tanzania
Na maombi yakatimie. Iramba nkulu
 
Back
Top Bottom