Taifa Stars akipiga pira la Gamondi, leo kufuzu ni 100%

Najua hii wengi hamta amini lakini hesabu ya namba inakataa kabisa ushindi wa ALGERIA dhidi ya TANZANIA leo nitakuwa mbinafsi kama sijawasogezea taarifa hizi na ushindi wa TANZANIA utapatikana kwa bao moja pekee hicho ndicho nilichokiona kwenye maono yangu (wabillahi taufiq allah ndie mjuzi zaidi )
 
Mhhhhh
Screenshot_20230907-160938.png
 
Najua hii wengi hamta amini lakini hesabu ya namba inakataa kabisa ushindi wa ALGERIA dhidi ya TANZANIA leo nitakuwa mbinafsi kama sijawasogezea taarifa hizi na ushindi wa TANZANIA utapatikana kwa bao moja pekee hicho ndicho nilichokiona kwenye maono yangu (wabillahi taufiq allah ndie mjuzi zaidi )
Andika hapa formula uliyotumia wenye elimu ya Nyota tutaelewa kama wewe ni ukweli au magumashi tu, au umeambiwa na mtu?
 
Najua hii wengi hamta amini lakini hesabu ya namba inakataa kabisa ushindi wa ALGERIA dhidi ya TANZANIA leo nitakuwa mbinafsi kama sijawasogezea taarifa hizi na ushindi wa TANZANIA utapatikana kwa bao moja pekee hicho ndicho nilichokiona kwenye maono yangu (wabillahi taufiq allah ndie mjuzi zaidi )
Can you show us?
 
Mimi nimeota 3-0 ila nakumbuka kama ni Yanga ile iliyokuwa inapigwa zile goli kwa hiyo labda siyo matokeo ya leo
 
Back
Top Bottom