Wachezi wako20 mil200 zitatolewa na nani?Maandalizi Ya zima Moto hayana nafasi kwangu. Mpira wa Bongo zimamoto-zimamoto.
Kichwa cha Mwendawazimu lazima wapokee pigo takatifu..
Nakama Watafuzu basi nitakata uraia wa Estonia,nakuwaachia lijinchi lenu la kitu kidogo.
Poor Taifastars!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho,na hapa hatujafika kwa bahati mbaya,ni mipango ya muda mrefu ya watu wachache waliotaka tufike hapa. Kwa hiyo kila mtu apiganie mustkabali wake. Hatuwezi kujificha kwenye kivuli cha utaifa huku wachache wakitumia nafasi hiyo kujinufaisha.Sio kwamba mnaipenda Uganda ila siasa zimewatawala kupindukia! Hii michuano ni muhimu kwa Tz kuliko siasa za Makonda kumbukeni tunataka kuweka historia hapo kesho.Jitahidini kuwa na kiasi na hakuna mtu wa kuipenda nchi yetu nzuri Tz zaidi ya sisi wenyewe. Grow Up and think big.
Mimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?
Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.
Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ya wakenya hayatuhusu, tuache na timu yetu na Taifa letuHuko kunakohamasishwa na kina wema bakini wenye moyo! Mimi niliwekeza Nairobi kwa Mwakinyo ambaye aliachwa peke yake bila msaada wa serikali na wahamsishaji waliopoteza mvuto! Kafanya kweli na kumchapa mtu kwa tko mapema kabisa! Hongera Mwakinyo kwa kuipendezesha weekend yangu ila nakushauri uwaepuke wanasiasa kwani watakuangamiza na kuzikatisha ndoto zako!
Tanzania ni nchi ya kikristo kama utaki katafute jezi yako uchore mbalamwezi apo halafu andaa yako ya taifa.Mimi nitasimama na Lesotho mpaka kieleweke.
Siwezi kuvaa jezi kama sare ya kwaya
View attachment 1052129
Sent using Jamii Forums mobile app