Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

U
GANDA ASHINDI MKUU MASHEMEJI ZNAGU ILA LEOO AWATOKI KWAMCHINA TAKE MA WORDS SHIDA KUBWA IKO CAPEVD HUKOO LESOTHO ANAWEZA FANYA MIUJIZA MKAISHIA KUTAPIKA ZILE BIA
 
SIKUWANAJUA
HILI LESOTHO AKISHINDA ATUENDI POPOTE


NAFIKIRIA MAOMBI MAKUBWA YAPELEKWE KWA LESOTHO KUFUNGWA KAMA WATASHINDA

HATA HIZI BIA ZA BEI NAFUU LEOO ZITAGEUKA MTORI HUKO TUMBONI

TUJIKITE KUIOMBEA MABAYÀ ZAIDI LESOTHO
 
Nimeomba tupendekeze sehemu ya kukakaa ili niwapatie bendera na tutoe hamasa ya kutosha. Hapa nataka kuwaonyesha waonaojiita watawala wa kulazimisha uzalendo. Wakae wakijua kuwa uzakendo unaletwa na matendo yao na wala siyo lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bro sasa Ukristo umeingiaje hapa?
Kwani Uganda na Lesotho ni Waislam?

Kwahiyo kila asiyeitakia ushindi Taifa Stars ni Mpinga Ukristo?

Yani hapo umepotea Kabisa Coz toka alipowasili Amunike Nchini kama Kocha Mimi niliachana na Kigenge hichi cha Amunike ambacho sasa ni cha Bashite na Wema.

Mimi Nikiwa Kama Mshabiki Wa Simba Kindakindaki siwezi kuwa pamoja na Kigenge hichi cha Amunike hata Siku moja.
 
Ni kweli tungeweza kushinda lakini hizo ahadi za kufunga mitaa kisa watu wale Pombe nahisi mungu anaweza kutuadhibu.
Pia siasa imeingia maana kuna kiongozi mmoja Alisikika Akisema Simba kashinda ni wao wamehusika ilihali hatukuwaona kwenye maandalizi ya Simba, hivyo tukifuzu AFCON basi ndo itakuwa silaha ya kupata kura 2020
Kila la kheri stars ila tusiende AFCON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…