OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Njoo na leo uandike utumbo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabotswana wakiangalia udakaji wa Manula wanacheka sana
Njoo uandike na leo adake kabwili
Ah mzee ametusave yule kipa aseeLeo wanapita kama hawaoni vile
Ah mzee ametusave yule kipa asee
Watu wakisema mashindano ya nje yanatoa exposure naelewa sasa....
Stars to Qatar
Anza ww kumsaidia kocha umtajeLeo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula.
Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30 kama ya leo.
Wapo akina Kakolanya, Metacha, Mgore n.k. Kwa nini kila uchaguzi wa Taifa Stars kipa ni Manula?. Achaneni na Manula. Leo lawama lazima zimwendee kutokana na goli lililofungwa na Benin.
Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Adake hata Kabwili
🤣🤣🤣 wee jamaa wewee#Nlitaka niseme kuwa huyu mtoa thread n wa utopolo ila nmegairi kusema#
Hivi unajua Dani Mgore Kwenye michuano ya CAF under 20 alifungwa goli mbili karibu kila mechi ?Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula.