Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huo uwanja unatua ndege nyingi kubwa tu.Wakati wanatoa taarifa ya kusafiri na hiyo ndege yetu pendwa walikuwa hawajui kama inaweza kutua kwenye huo uwanja?
a mkewe naona akili yake na ya yule Agwe wa mjengoni ni mgogoro tu.Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
why unasema hivyo?Asante Mungu, bora imebuma
Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Ndege mbovu mkuu, wameongpa kuumbukawhy unasema hivyo?
aliponea chupu chupu, ile sumu ilimnyonyoa nywele zote! Tulimfariji sana , kumbe nyoka, nunda mla watu! naye katika mabogas anaongoza!Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Wanaogopa ndege ikiruka itakamatwa na wadeni wetu.Oparesheni ukuta na kata funua
Punguza jazba.Oparesheni ukuta na kata funua
lingeenda likashuka kama Mv Nyerere, afadhali halijaenda bovu na madeni tele!Ndege mbovu mkuu, wameongpa kuumbuka
Unategemea mtu alipe dola 1500 halafu aende akapige makelele uwanjani do 90 ???????? They are not serious.
Taratibu mkuu, uchochezi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela international airport (RAI) ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines. Uwanja wa kimataifa wa Cape Verde ulipanuliwa mwaka 2012 na kuwekewa vifaa vya kisasa kuhudumia ndege zote kubwa pamoja na ongezeko la abiria kutokana na kisiwa hicho kuwa kivutio kwa utalii wa kimataifa.
Jiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo usikie wanavyomsema mtoto wako! Hawana adabu