Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

wameona watapata hasara maana $2000 ni parefuu
 
Siku zote uwa natilia shaka uwezo wa Mwakyembe, ina maana mpaka anakuja kutapeli wa Tanzania hakujua kama dreamliner haiwezi kutua huko? Uwanja wa ndege wa Praia una urefu wa mita 2100. Dreamliner inahitaji uwanja wenye urefu mita 2600 ili iweze kuruka.
 
Zama hizi watu hawadanganyiki
 
Kwani kuna mtu humu aliamini kuwa io dreamliner itaenda uko? Nilijua tu wataleta sababu yeyote Kama hii.[emoji3575][emoji773].
 
Huo uwanja unatua ndege nyingi kubwa tu.

Mwakyembe ameogopa kusema kuwa hili dege la kibisa ni hasara tupu kulipeleka huko imebidi atunge story za kipuuzi.
Kwanini ameshindwa kuchagua sababu ingine nzuri, kama shida ni uwanja, kwanini bombadear isiwapeleke ili kuondoa dukuduku!
 
Sawa tuseme uwanja ni mdogo Dreamliner haiwezi tua vipi kwa Bombardier ?

Msharudishwa IATA kwanza au bado ndio maana mkapigwa pini kuruka kwenye nchi za watu ?

Hivi zile Boeing zinazotua Cape Verde huwa zinatua kwenye maji ? Dah huu uongo sasa umezidi
 
Waziri anadanganya mchana kweupeee,hawajui zama za teknolojia hizi?
Nyie inatakiwa mue waelewa hii ndege inatua kwenye viwanja vikubwa tu duniani vilivyopo Tanzania ambavyo ni mwz,klmanjaro,jnia na chato Kinakuja,hivyo ndio viwanja 4 vikubwa duniani ambako dreamliner yetu inatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…