Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kama tu pamoja na shamrashamra za timu ya taifa tumekosa abiria wa kuijaza,tutapata abiria route za kimataifa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tff come this wayMie nataka kwenda na stars nifanyeje?
Bagamoyo mchochezi, anasema kuna madege makubwa yanatua, Bagamoyo angalia Jiwe anakuona bagamoyoTaratibu mkuu, uchochezi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Routes
There are 192 flights on 28 different routes from Praia Nelson Mandela International Airport, connecting RAI to 27 different cities in 14 different countries. The most popular routes connect Praia
Aeroporto internacional da Praia Cabo Verde
Icelandair lands at Praia Nelson Mandela airport
Zama hizi watu hawadanganyikiCheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela international airport (RAI) ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines. Uwanja wa kimataifa wa Cape Verde ulipanuliwa mwaka 2012 na kuwekewa vifaa vya kisasa kuhudumia ndege zote kubwa pamoja na ongezeko la abiria kutokana na kisiwa hicho kuwa kivutio kwa utalii wa kimataifa.
Kwani kuna mtu humu aliamini kuwa io dreamliner itaenda uko? Nilijua tu wataleta sababu yeyote Kama hii.[emoji3575][emoji773].October 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi kuifuata timu ya taifa ya huko kwa ajili ya michuano ya kufuzu kwa michuano ya AFCON inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kambi ya timu hiyo Waziri Mwakyembe amesema, mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa. Aidha Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji wa Taifa stars wakacheze kwa kujituma ili kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku akiwasihi watanzania kuiombea timu hiyo. Kwa upande wake Rais wa TFF Wallace Karia na Nahodha Msaidi wa Taifa Stars Himidi Mao wameelezea maandalizi ya mchezo huo.
Habari & Video kwa hisani kubwa ya:
Source: Global TV Online
Kwanini ameshindwa kuchagua sababu ingine nzuri, kama shida ni uwanja, kwanini bombadear isiwapeleke ili kuondoa dukuduku!Huo uwanja unatua ndege nyingi kubwa tu.
Mwakyembe ameogopa kusema kuwa hili dege la kibisa ni hasara tupu kulipeleka huko imebidi atunge story za kipuuzi.
Mie nataka kwenda na stars nifanyeje?
Hivi Mwakyembe amewahi kufanikiwa katika lipi ?
Nyie inatakiwa mue waelewa hii ndege inatua kwenye viwanja vikubwa tu duniani vilivyopo Tanzania ambavyo ni mwz,klmanjaro,jnia na chato Kinakuja,hivyo ndio viwanja 4 vikubwa duniani ambako dreamliner yetu inatua.Waziri anadanganya mchana kweupeee,hawajui zama za teknolojia hizi?