Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni miika mwamba
Beat ya Kama ni kali zaidi ina hisia sanaMike T beat yake kali me naona ile SINTOBADILIKA
Hii nyimbo inaweza ikawa mwaka wa saba naitafuta siipati mwenye nayo afanye msaada asee
Ili beat limeleta mpaka mgongano wa nchi UGANDA VS TANZANIA, BASATA NA COSOTABeat la NIKUSAIDIAJE ni balaa, alaf cheki jinsi Jose Chameleone alishuka nalo kwenye Bomboclat
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hatariDaaaaah.... Achaaaaa
Ukiwa na kale kaWalkman kadogo ka betry za triple AAA na kanda ambayo umerekod tracks kadhaa unapita kitaa unabang na mara unafikia hilo goma lazma mwajuma flan ageuke[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app