Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Naona mnataja nyimbo zaidi kuliko beat kali.
1. Muziki - Darasa.
2. Nikusaidiaje - prof jizzle
3. Mikasi - Mangwear
4. Nini Mnataka - Pig Black
5. Mpenzi - Dudubaya
6. Kwenye Chat - Balozi
7. Mbele kwa mbele - Dj Yusufu
8. Tangazo - Bantu Mcz
9. Kaa Tayari - Jose Mtambo
10. Wapo Wanaotaka - Dani Msimamo Prod by Lamar
11. Sina Demu - B Boy
12. Kosa la Marehem - Uswahilini Matola
13. Bab Kubwa - Planet 2000
14. Wauguzi - Wagosi wa Kaya.
15. Salome, Tamika - Dully
16. Kamanda, Barua - daz nundaz
17. Chambua kama karanga - Saida Karoli
18. Tunda - Tam Tam ya Mwinjuma.
19. Baby Gal - Mad Ice
20. Tamala - Hard Mad
21. Twenzetu - Chege na Temba.
22. Kibanda cha simu - soggy dog
23. Mme bwege - bushoke
24. Mawazo - lady jay dee
25. Hayakua mapenzi - Sugu.

Bonas beat. Vijimambo by Nura na Shega tuu by Dark Master.

Tafuteni hizi track wengi mtakubaliana na mimi. Unaweza kuisikiliza beat tuu, na ukaridhika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some time nilikuja mpaka kwenu sometime niliishia mlangoni sometime,mlinzi alinambia haupo some time niliingia mpaka ndani sometime mama alinijibu unasoma sometime nilijifanya mwanafunzi sometime nikajifanya mwalimu sometime, eeeeh hehe sina simu hicho kitu kikaniafanya nipate wazimu........ hili goma hatar sana inabid apewe tuzo ya heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa umetisha sana .... mbio mbio mpaka kwenye cha simu .. pesa nazo mfukoni zili leta utata dakika 2 mara simu ikaka kata .dakika mbili mara ikata kata .. ohh baby tamala (tamalaaaaa )....

Zamani palikuwa na tungo zenye afya sana aisee ....

Hahaa nani wakumpa tuzo sasa mkuu ..ihali sote twaona ni mwaka wa 4 sasa huu tasnia ya music nchini inakosa kuandaliwa kwa tuzo zozote zile
 
Nlikuwa nasoma islamic seminary moja form one basi ulitoka wimbo wa mr Nice kikulacho mi ndo nmetoka home wenzang wemetangulia shule.Sasa mi ndo nlikuwa naujuwa tu nkawa nawaimbia huku nacheza ile TAKEU.Si kuna mwalimu mmoja akanibamba afu bonge la ustadhi.Basi akanipeleka staff imejaa maustadhi tupu utadhan YEMEN akasema nianze kuimba na kucheza hiyo TAKEU,duuuh

Pole sana mkuu... Umenikumbusha kisa changu na wimbo wa nakuhitaji wa Caz T na Ms Sara.... Hahahah nilimaindiwa balaah kuwa naimba matus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Big black - Nini mnataka by majani
2. Tangazo Bantu MC's by sijui n kd not sure
3. Mtoto wa mjin - Pig black by D money
4. Barida - squiza,ngwair&chid by mapigo
5. Hataki - Jose mtambo by D money
6. Muziki - darasa&Ben Paul by T touch
7. Mimina - Gigy money by kimamba
8. Yaleo Kali - GWM by majani
9. Jela - LWP majitu by majani
10. Nawaza - Chindoman by majani
11. pwaa - Cp by Mj records

Kuna producers walifanya vitu vikali Sana mfano
1.Effecor na east coast(itikadi,komaa nao)
2.Ambross Dunga (Hao by mwasiti, Nipe dili by ngwair, Nipe Mimi by temba&Ray c)

3. Marco chali akiwa kama kawa records (Stori tatu tofauti by Jay Moe)

4. Q the Don's in mchizi wangu by nako 2 nako

5. B heats in habari ndo hyo by Kimario & Massawe

Mziki ulkua mzuri sana ulitengenezwa miaka 15 iliopita sababu producers na wasanii walikuwa wanafanya kwa Passion nasio fashion ila sikuhz wengi wanafanya sijui sababu wapo karibu na studio na Mike nafkiria ubunifu hakuna wote wanaimba matusi tuu nasikitika Hadi weusi na mtoto Kama Nick wapili ndo amekuwa kiongozi wa matusi.
 
Namba 1 hapo ni balaa. beat ya Nini Mnataka Mazee majani aliichonga ipasavyo. Always itakua top kwenye list ya beats nlizowahi kuziskia. Nakumbuka kuna kipindi cha Sauda Mwilima kilikua kinaitwa bongo beats, cha star times, ilikua kikianza tuu hilo beat linasikika background

the Legend☆
 
Katika wasanii waliopata heshima ya majani kwa enzi hzo ilikuwa in thamani Sana Pig black baada ya kunata na beat alipewa nafasi ya kutokuulupia wimbo huo kwasababu aliwakosha mioyo wasanii na maprodyuza waliokuwepo kipindi jamaa anateleza na beat.

Kiufupi Pig black amepata bahati ya kupata beats Kali Sana sema jamaa sijui kwann jina lake halikusimama vizuri hvyo mskilize kwenye Nini mnataka, njoo kwenye mtoto wa mjini mcheki Tena kwenye Nsikilizen akiwa na bishoo young Babylon Mr. Blue Yan beats zote n Kali Sana Yan hatofautian na Jose mtambo akikutana na Downtown records heats maker mzee D mahela aka D money Yan huu mziki uachen tuu
 
Uko sahihi mkuu. Game halitabiriki. Jamaa kazi alizokua anafanya hazikua sawa na jina lake

the Legend☆
 
Ngwar na nature walikuwa n watu wakwanza kusikilizishwa beat na majan japo hii ya nn mnataka ya pig black naamin gwair ilkua bado ajawasigned na majani lakin hata Kama ingekuwaje jiulize hyo beat nature hakupewa ngwair mzee wa kulala na beat naamin hata angepewa hii ingemtoa nje Pig black alifanya kubwa mno
 
Kusema kweli music producer wengi wabongo waliopita na wasasa wanatengeneza beat kali. Nikisema nitaje moja naona kama zingine naziacha. Ila tuanze na hii.... KINANDA BY MESEN SELKTA naikubali sana japo zipo nyingine nyingi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom