Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Ngwair hata angeenda kwa mj record angeandikwa tu hapa.Kile kichwa balaa
Ngwair kichwa sijabisha. Ila alikua anaandaliwa beat nzuri sana n majani kuliko wengine.
Angalia beat kama la mikasi nani mwingine kashawahi kupendelewa vile
 
Ila Mez B alikuwa anazingua bhana.Ukitoa ngoma yake na Ray C kuna ipi kali sana kutoka kwake?
Si hiyo nimekubali. East zoo waliokua asset ni ngwair na noorah, mezb na darkmaster walikua wasindikizaji
 
Aaah wapi. Hao kina nature labda waungane wote tmk ndio wafikie beat za ngwair [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaha labda kwa kuimba ndio Hao TMK unganisha na Eeast Coast wote hawaingii kwa NGWAIR.Kwa beat wanaweza mfunika japo mikasi ni beat zuri.Wee ile miguno inayoanza najua inakufurahisha sana
 
Si hiyo nimekubali. East zoo waliokua asset ni ngwair na noorah, mezb na darkmaster walikua wasindikizaji
Dark Master jina lake lilikuzwa na Ngwair maana kila wimbo anamtaja mtaja ,ndio akamshirikisha She got a gwan tukamjua
 
Hahaha labda kwa kuimba ndio Hao TMK unganisha na Eeast Coast wote hawaingii kwa NGWAIR.Kwa beat wanaweza mfunika japo mikasi ni beat zuri.Wee ile miguno inayoanza najua inakufurahisha sana
🤣🤣🤣🤣 jamani sio ile miguno ni zile dumdum. Ile beat inavunja vyombo kabatini. Kuna siku kikombe changu kilivunjika sababu ya hilo beat
 
Back
Top Bottom