Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Hahaaaa labda waliona yeye anachana akiwekewa beat la kuimba halitonoga.Ila blue alipendelewa japo anajua sana.Wakati blue anaingia na beat likabadilika kumakaribisha blue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa labda waliona yeye anachana akiwekewa beat la kuimba halitonoga.Ila blue alipendelewa japo anajua sana.Wakati blue anaingia na beat likabadilika kumakaribisha blue
Daaah umenikumbusha Dullayo aiseee.... Siku hzi ujanja ujanja mwingi sana, ndio maana ladha imekuwa ya kufanana kwa maproducer wengi refer aibu ya nandy na goma la shetta n.k. Mfano kwa ladha za bongo ilikuwa kosa kiforce vitu kama trap bits, club bangers/tecno... Ila ukisasa na biashara umezalaisha hayo yote.Blu style yake ilikua amazing kweli.
Zaman mziki ulikua ni kuburudisha siku hizi mziki umekua biashara tu. Mtu analala anaaamka kawa producer au mwanamuziki.
Beat kama la dullayo la naumia roho utalisikia wap siku hizi
Mie nisiwe muongo nyimbo za miaka hii ninazosikiliza zaidi ni za diamond na mbosso ili niburudike tu. Za wengine hata sizijui.Daaah umenikumbusha Dullayo aiseee.... Siku hzi ujanja ujanja mwingi sana, ndio maana ladha imekuwa ya kufanana kwa maproducer wengi refer aibu ya nandy na goma la shetta n.k. Mfano kwa ladha za bongo ilikuwa kosa kiforce vitu kama trap bits, club bangers/tecno... Ila ukisasa na biashara umezalaisha hayo yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Beat la NIKUSAIDIAJE ni balaa, alaf cheki jinsi Jose Chameleone alishuka nalo kwenye Bomboclathizi talk beats
Busy - jafarai
Nikusaidiaje - Prof j
Proffessional - fid
Ngoja nijaribu kuisikiliza na mimi nisikieNimeisikiliza tena hapa ,namuona blue anaimba kwa beat tofauti na waliyotumia wenzie
hahaha me miaka hii narudia za kina nelly na wengine back uko miaka ya 2000Mie nisiwe muongo nyimbo za miaka hii ninazosikiliza zaidi ni za diamond na mbosso ili niburudike tu. Za wengine hata sizijui.
Wafanye kurudisha bongo fleva ya zamani aiseee hawa wa siku hizi wanaharibu tu mziki
Kufanana kwa beats inaweza isiwe ishu sana, kumbuka Promota anabeep ya Prof J na Napokea simu ya Ngwea AU Nitoke vipi ya Misosi na nimechezea bahati ya Man XDaaah umenikumbusha Dullayo aiseee.... Siku hzi ujanja ujanja mwingi sana, ndio maana ladha imekuwa ya kufanana kwa maproducer wengi refer aibu ya nandy na goma la shetta n.k. Mfano kwa ladha za bongo ilikuwa kosa kiforce vitu kama trap bits, club bangers/tecno... Ila ukisasa na biashara umezalaisha hayo yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina Rkelly [emoji12][emoji12][emoji12]hahaha me miaka hii narudia za kina nelly na wengine back uko miaka ya 2000
Siku hizi hamna kitu, makelele tu... Iv unamkumbuka Dknob mzee wa sauti ya dhahabuMie nisiwe muongo nyimbo za miaka hii ninazosikiliza zaidi ni za diamond na mbosso ili niburudike tu. Za wengine hata sizijui.
Wafanye kurudisha bongo fleva ya zamani aiseee hawa wa siku hizi wanaharibu tu mziki
Alikua anampendeleaga ngwairP funk alitengeneza beats kali sana.
Halafu sidhani kama hata alitusua kwenye hii tasnia vile kwa MJ amebaki kula kodi ya studio tuP funk alitengeneza beats kali sana.
Hahahaaa sauti ya gharama (RIP MezB). Elimu mtaani.com mnaionajeSiku hizi hamna kitu, makelele tu... Iv unamkumbuka Dknob mzee wa sauti ya dhahabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa chief ila angalia jinsi imekuwa kawaida sasa hivi. Pia msanii kutembelea line moja tu hata ukiwa unapita tu unajua hii flow ya Bahati huyu.... Ila zama hizo ukimkuta Prof Jay wa "wapi nimekosea" na "naahidi" huezi fananisha kirahisi.Kufanana kwa beats inaweza isiwe ishu sana, kumbuka Promota anabeep ya Prof J na Napokea simu ya Ngwea AU Nitoke vipi ya Misosi na nimechezea bahati ya Man X
Sent using Jamii Forums mobile app