Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah anaitwa fatuma nimdogo wake hard mad ... hiyo ngoma ilikuwa ni club bang moja kuntu sana ... zig dee sijui alipotelea wapiDaaaah hii umenikumbusha mbali sana mkuu sjui jamaa kapotelea wapi na yule dada waliimba nae anaitwa sjui nani mi nilikua namwita Fatma...jina lake lilikua linanishinda kutamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana hiyo hit song mkuu ... ilikuwa ikipigwa club lazima mtafutane aisee
haha zile fruits ni matata Sana ...hata kick na base sio za masihara mkuu acha kabisaKimya kimya_jay mo
Daah speaking of ladys free ni moto mwingine .... kuna Jirushe ya ferooz na jaymo produced p.funkNiliikubali sana hii ngoma ikiguatiwa na ile Ladies Free
Mzee baba kuna ile Jahazi la Daz mkono wake P Funk Majani hiyo ngoma mziki wake mnene si mchezoDaah speaking of ladys free ni moto mwingine .... kuna Jirushe ya ferooz na jaymo produced p.funk
Yeah yeah ni moto sana hiyo ... usisahau nipe tano ya daz bab ft daz nundazMzee baba kuna ile Jahazi la Daz mkono wake P Funk Majani hiyo ngoma mziki wake mnene si mchezo
Way Back mzee HardMad na goma lake la Tamala ilikuwa ikipigwa club ni shida sana, mkono wa Mika Mwamba kama sikoseiYeah anaitwa fatuma nimdogo wake hard mad ... hiyo ngoma ilikuwa ni club bang moja kuntu sana ... zig dee sijui alipotelea wapi
Album nzima ilikuwa na Beats za kibabe sana. Nahisi aliifanya P funk albam nzimaYeah yeah ni moto sana hiyo ... usisahau nipe tano ya daz bab ft daz nundaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani ndio kulikuwa na ubunifu mkubwa katika tasnia ya Bongo Flava