Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Kwa list fupi hii anaonekana P funk ameongoza kwa utengenezaji beat ubora, mkono wake utakuja kushikwa na producer Abbah endapo ataendelea kuwa serious na kazi na akiacha utoto.
 
Majani alikuwa mkali wao sikiliza ile ngoma ya Mtoto Idd ya juma nature. Jamaa anamkono wa kupiga Beats zisizofanana
 
Angempendelea blue naye asingeenda nalo vizuri. Ila nyimbo za zamani nzuri jaman maproducer wa siku hizi wanakosea wapi
Hahahhaha basi enzi hzo blue alikuwa anaflow kibishoo sanaa.....

Dj wa sku hizi wanakesha you tube, nigeria, na kusample sample sana.... Enzi za akina Majani au Mika Mwamba walikuwa wanakomaa na vifaa duni ila wanatoa bonge la supu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila blue alipendelewa japo anajua sana.Wakati blue anaingia na beat likabadilika kumakaribisha blue
 
Hahahhaha basi enzi hzo blue alikuwa anaflow kibishoo sanaa.....

Dj wa sku hizi wanakesha you tube, nigeria, na kusample sample sana.... Enzi za akina Majani au Mika Mwamba walikuwa wanakomaa na vifaa duni ila wanatoa bonge la supu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Blu style yake ilikua amazing kweli.

Zaman mziki ulikua ni kuburudisha siku hizi mziki umekua biashara tu. Mtu analala anaaamka kawa producer au mwanamuziki.

Beat kama la dullayo la naumia roho utalisikia wap siku hizi
 
Back
Top Bottom