Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Mkuu nimekupa like sijawahi kuwaza ile beat miika alikuwa katika mood gani yaan.Lile dude ni noma afu bongo HAD MAD alikuwa nadhan ndo king wa DANCEHALL

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante " ... ile ngoma ya tamala ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa zinanifanya nipatwe na uchizi tokana na mixing iliyofanyika mule na jinsi ambavyo had mad alivyo kuwa ana ghani ...

Anakwambia"---- mara ya kwanza tulikutana kwenye show " ukaniambia singwe daranyo. Siku shangaa nikajipa moyo " kwa kuwa mapenzi ndivyo yalivyo ". .mtoto mwenye kiuno laini " cha kucheza raga muffin na kudigi na mimi " oh mwana nane nagala nashindwa " kuelewa hata nifanye nini ..

Ohh tamala " .(tamalaaaaa) baby tamala (tamalaaaa)...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mike T naye alitamba jamani. Hapo nature hajakandamiza chorus nampenda penda nani msichana mmoja nani
Daaaaah.... Achaaaaa
Ukiwa na kale kaWalkman kadogo ka betry za triple AAA na kanda ambayo umerekod tracks kadhaa unapita kitaa unabang na mara unafikia hilo goma lazma mwajuma flan ageuke[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah.... Achaaaaa
Ukiwa na kale kaWalkman kadogo ka betry za triple AAA na kanda ambayo umerekod tracks kadhaa unapita kitaa unabang na mara unafikia hilo goma lazma mwajuma flan ageuke[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha yanaenda kasi sana nakumbuka ugomvi mkubwa na bibi yangu na cassette zake za kaswida mimi narecord bongo flavour.
Vijana wa siku hizi hayo mambo hawayajui wao busy na visimu tu kila kitu youtube.
Soggy doggy naye vp?
 
Mkuu asante " ... ile ngoma ya tamala ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa zinanifanya nipatwe na uchizi tokana na mixing iliyofanyika mule na jinsi ambavyo had mad alivyo kuwa ana ghani ...

Anakwambia"---- mara ya kwanza tulikutana kwenye show " ukaniambia singwe daranyo. Siku shangaa nikajipa moyo " kwa kuwa mapenzi ndivyo yalivyo ". .mtoto mwenye kiuno laini " cha kucheza raga muffin na kudigi na mimi " oh mwana nane nagala nashindwa " kuelewa hata nifanye nini ..

Ohh tamala " .(tamalaaaaa) baby tamala (tamalaaaa)...

Sent using Jamii Forums mobile app
Some time nilikuja mpaka kwenu sometime niliishia mlangoni sometime,mlinzi alinambia haupo some time niliingia mpaka ndani sometime mama alinijibu unasoma sometime nilijifanya mwanafunzi sometime nikajifanya mwalimu sometime, eeeeh hehe sina simu hicho kitu kikaniafanya nipate wazimu........ hili goma hatar sana inabid apewe tuzo ya heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha yanaenda kasi sana nakumbuka ugomvi mkubwa na bibi yangu na cassette zake za kaswida mimi narecord bongo flavour.
Vijana wa siku hizi hayo mambo hawayajui wao busy na visimu tu kila kitu youtube.
Soggy doggy naye vp?
Hahahaha swadakta kabisa.... Home tulikuwa na cassette ya panasonic ya spika moja... Inatumika wakat wa shughuli tu au skukuu yaani.... Vijana wa sku hzi wanabebea nyimbo kwenye flash walain sana...

Soggy kitaaa kimoja karakata aisee.... Alikuwa anajiita chief rumanyika na kampuni yao ya hot family utajiju comm centre[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some time nilikuja mpaka kwenu sometime niliishia mlangoni sometime,mlinzi alinambia haupo some time niliingia mpaka ndani sometime mama alinijibu unasoma sometime nilijifanya mwanafunzi sometime nikajifanya mwalimu sometime, eeeeh hehe sina simu hicho kitu kikaniafanya nipate wazimu........ hili goma hatar sana inabid apewe tuzo ya heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo sometime ilivyokuwa inakandamizwa balaah kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom