Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

D knob ft mwasiti nishike mkono

Sent from my TECNO KA7 using Tapatalk
 
Swanglish- Wakilisha (RIP langa)
Ndoto tata- JITI
Waite polisi- ROHO SABA
 
HAKUNAGA ya Suma Lee

NILIPE NISEPE

Hizo beat ni hakuna.
 
Mkuu asante " ... ile ngoma ya tamala ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa zinanifanya nipatwe na uchizi tokana na mixing iliyofanyika mule na jinsi ambavyo had mad alivyo kuwa ana ghani ...

Anakwambia"---- mara ya kwanza tulikutana kwenye show " ukaniambia singwe daranyo. Siku shangaa nikajipa moyo " kwa kuwa mapenzi ndivyo yalivyo ". .mtoto mwenye kiuno laini " cha kucheza raga muffin na kudigi na mimi " oh mwana nane nagala nashindwa " kuelewa hata nifanye nini ..

Ohh tamala " .(tamalaaaaa) baby tamala (tamalaaaa)...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mistari hii ilinilainishia demu enzi hizo.
Kudos kwa Hardmad 2017 alitoa nyimbo mbili ila hazikuhit sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom