Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Kura yangu Sugu Ft nature by P funk majani
Tatu bila - TMK by majani
Nipe mimi- Temba by Dunga
Seya- Nguza Viking
Utajiju - Nature by majani
Tamala- Hardmad by Mika mwamba


Nimefunga mjadala Majani ni hatari
 
Kwangu mm beats kali ni hizi hapa...
Abby skillz ft dully & zahran NAKUPENDA
ALIKIBA kuforce mapenzi
SUGU hayakuwa mapenzi
Ngwea mikasi & ghetto langu & she got a gwan
Prof j-Hapo vp, kamili gado
Gzilla-Nataka
Nature. Sitaki demu & inaniima sana + huwezi jua
NAKO 2 NAKO NDIO ZETU hii kwakweli ni kali kuliko maelezo..
Nako 2 Nako Sweet sixteen
Alikiba mapenzi yana run dunia..
Mad ice Baby gal + Nionyeshe njia & wange
Dudubaya-Mpenzi
Mr Nice Kidali Po
PICCO kikongwe
NEMO Vumilia
Yaki Tonight
Chegge twenzetu
YP & Y-DASH-SHEMSA + PUMZIKA
Temba-Nampenda yeye
Hard mad tamala
Snaa lee Hapatoshi
J mo Famous + Kama wataka demu
Wandago sipendi kuona...

Zingine keshoo hizo ngoma beat zake ni hatari sana.. CHUKUA MUDA WAKO KUSIKILIZA BEAT YA NAKO 2 NAKO NDIO ZETU... Mtanipa mrejesho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakutakuepo ba beat/instrumental Kali mpaka kizazi hiki kinapotea kama


Mtoto IDD by Juma nature
Prud Majani Bongo Rec

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Back
Top Bottom