Vizuri sana ! Ndivyo tunavyotakiwa tuwe yaani mwanaume akimkemea mtoto kwa kufeli asiseme "muone kwanza una akili kama za mama yako" hapo wako lazima atulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua mwalimu wangu wa Taalum Mirambo shule ya msing siku hizi kawa mpolee sanaMwaka 2005 kamanda nilipiga
Muhimu ombea kizazi chakohahaha!kwakweli! ila naumia sana na kizazi hiki jaman! msichana ananyoa kiduku form 2!imagn
Kwani wewe umesoma shule gani?Tuwe watulivu. Lengo la huu Uzi ni kujikumbusha ya enzi hizooooo!
Pia kuna wengine kupitia hii washawapata Schoolmates au classmates humu.
Amani itawale.
Ila mpaka sasa cjapata nliyesoma naye shule Moja.
Nakupenda Sana Mama Yangu
Upo wapi now,na unafanya nn?Idetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Tulishafanya mtihani wa pamoja miaka hiyooMAWENZI PRIMARY SCHOOL
MOSHI MJINI- KILIMANJARO
Kabisa shoo tutakuwa tumesoma shule moja bila shakaHahahaaaaa. Aiseee. Tufanye ni mie basi.
Hahaaaa. Wacha ibaki kuwa siri yetu mpaka tupate mwenzetu wa tatu.Kabisa shoo tutakuwa tumesoma shule moja bila shaka
Kabisa yaan mie mzima vip wanangu na shem langu hawajamboHahaaaa. Wacha ibaki kuwa siri yetu mpaka tupate mwenzetu wa tatu.
Mzima weye?
Wazima kabisa namshukuru allah.Kabisa yaan mie mzima vip wanangu na shem langu hawajambo