MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Vizuri sana ! Ndivyo tunavyotakiwa tuwe yaani mwanaume akimkemea mtoto kwa kufeli asiseme "muone kwanza una akili kama za mama yako" hapo wako lazima atulie
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha!kwakweli! ila naumia sana na kizazi hiki jaman! msichana ananyoa kiduku form 2!imagn