Ipo moshi mkoa wa kilimanjaro mkabala na chuo cha polisi moshi (CCP)
Kipumbwi primary school, namba wa kwanza, head teacher = Andalu. Sitasahau nilipotaka kuadhibiwa kwa uonevu wa mwalimu, sijui ni kitu gani kilitokea lakini banda la mbuzi wa shule lilishika moto hivyo adhabu haikufanyika!Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau?
Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi.
Karibuni!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka gani umemalizaZanaki primary school
1997Mwaka gani umemaliza
Enzi za kina mwalimu Chalamila enhe hatar Sana.1997
Mwalimu mkuu Mkama...mwalimu saidi,hamisiEnzi za kina mwalimu Chalamila enhe hatar Sana.
Hili jina geni kwangu labda kama iliwahi kubadilishwa jina. Kwa niijuayo mitaa hiyo ni Kilimanjaro International School, Kilimajaro Primary School??
Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa. .?? Mkuu na wewe uliliwa kichwa kumbe hiyo primaryLipumburu PS. Mwl Nanchetta. Hakuna aliyefaulu ST7. Nikaingia UPE, nastafu mwakani..
Kitambo SanaMwalimu mkuu Mkama...mwalimu saidi,hamisi
Ndio maana nasema we ni binti yangu naijua hiyo shule ipo karibu na Mtwango kwetuIdetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Hii ni shule ya miaka mingi mkuu na kama umewahi kuishi moshi shanty town karibu na CCP utakuwa unaijua .Mimi nimeanza pale 1981 na nikatoka 1987 mpaka leo ipo na jina lake ni hilo hilo,Ilikuwa inashindana sana na Kibo Primary school