Steven Jibe
Member
- Jul 31, 2014
- 17
- 4
Bujela primary school drs la I-II
Masebe primary school drs la II-VII
Sent using Jamii Forums mobile app
Masebe primary school drs la II-VII
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule yetu mapinduziiiiii,Mapinduzi primary-Mbeya huko zamani sana
La kwanza mpaka la 5 nilikuwa mwanafunzi mzuri wa kwenye 5 bora we kufika mbelembele huko si nikacharuka !! Ilikuwa full kufukuzana
Wanakamati wa shule tushirikiane pamoja .....Shule yetu mapinduziiiiii,
Ipo mkoani mbeyaaa,
Wilaya ya mbeyaaaa,
Kwenye kata mbalizi road.
Umenikumbusha mbali sana mkuu. Nilikuwa "nachapa mguu" kutoka soko matola- maghorofani mpaka meta kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilihamishwa maendeleo kutokana na sababu za kitaaluma, ushindani ulikua ni mdogo. Mapinduzi ilisifika sana kwa kuwa bora kitaaluma, nilipata ushindani wa kutosha sana nikagundua kumbe maendeleo nilikuwa nawaongozea "vilaza".Wanakamati wa shule tushirikiane pamoja .....
Dah kwa kweli mbali sana mkuu sasa kwann hukwenda Itiji au maendeleo ambapo ni karibu ?

najua unaifaham Shia pr School 1996-2002
kwa nn hukupiga Sango primary!!! mm nilikuwa naishi Sango ila nilisoma shia primaryNo.... Mjohoroni Karibu na Sango.
Basi lilikuwa moja tu linalopita kwetu lilikuwa likiitwa MBUGUNI. Linatokea Kirua, ukilichelewa basi.
Kulikuwa na vinusu mkate - mfano wa hiace vya akina mzee Kashunga na Saleko, hivi viliishia Mdawi au Mbwa Haruki.
Ukivikosa unatembea KM 6 Mpaka KIBORILONI, Pale ndo kulikuwa na soko na Mabasi Mengi.
Nauli Mtu Mzima Shilingi 20, Dent Shilingi 5