Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Dakawa primary school std I-II
Mwenge primary school, mbeya III-VII
 
Mapinduzi primary-Mbeya huko zamani sana
La kwanza mpaka la 5 nilikuwa mwanafunzi mzuri wa kwenye 5 bora we kufika mbelembele huko si nikacharuka !! Ilikuwa full kufukuzana
 
Nyuzi nyingine waanzishaji huwa mnakua usalama wataifa lamarekan ,, Basi tu mnatafuta watu wenu ,,ili badae mgeuze km mlivomfanya "Sauli".
 
Mapinduzi primary-Mbeya huko zamani sana
La kwanza mpaka la 5 nilikuwa mwanafunzi mzuri wa kwenye 5 bora we kufika mbelembele huko si nikacharuka !! Ilikuwa full kufukuzana
Shule yetu mapinduziiiiii,
Ipo mkoani mbeyaaa,
Wilaya ya mbeyaaaa,
Kwenye kata mbalizi road.
Umenikumbusha mbali sana mkuu. Nilikuwa "nachapa mguu" kutoka soko matola- maghorofani mpaka meta kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakamati wa shule tushirikiane pamoja .....
Dah kwa kweli mbali sana mkuu sasa kwann hukwenda Itiji au maendeleo ambapo ni karibu ?
 
Nilihamishwa maendeleo kutokana na sababu za kitaaluma, ushindani ulikua ni mdogo. Mapinduzi ilisifika sana kwa kuwa bora kitaaluma, nilipata ushindani wa kutosha sana nikagundua kumbe maendeleo nilikuwa nawaongozea "vilaza".

No.... Mjohoroni Karibu na Sango.

Basi lilikuwa moja tu linalopita kwetu lilikuwa likiitwa MBUGUNI. Linatokea Kirua, ukilichelewa basi.

Kulikuwa na vinusu mkate - mfano wa hiace vya akina mzee Kashunga na Saleko, hivi viliishia Mdawi au Mbwa Haruki.

Ukivikosa unatembea KM 6 Mpaka KIBORILONI, Pale ndo kulikuwa na soko na Mabasi Mengi.

Nauli Mtu Mzima Shilingi 20, Dent Shilingi 5
kwa nn hukupiga Sango primary!!! mm nilikuwa naishi Sango ila nilisoma shia primary
 
Back
Top Bottom