Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Du ulijitajidi hadi kufikia 420?. Hivi airtel Nanakopesha je?
 
Madeni yaacheni tu..unaweza jikuta kila wakati simu unaweka flight mode,au simu ikiwa on ikiita namba ngeni hupokei,yaani ni mashaka matupu..
 
Maisha n magumu Sana inshu sio kudaiwa inshu n utayalipa lini?

Mdada DSM 700k
Classmate Dom 300k
Jamaa DSM 400k
Mama c/o ndugu 1.1m
Shule watoto 1.25m
Nyumba zaman 300k
Mengine mengine madogo madogo 500k


Mungu nisaidie nipone vizuri nirudi barabaran nipambane vizuri nipate riziki niwalipe wanaonidai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…