Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Taja madeni yako: Je, unadaiwa kiasi/ kitu gani?

Tigo : 180,000
Airtel : 420,000

hawa eatel ntawalipa tu siku maana sina namna hela hata iingie bahati mbaya wanailamba,ila tigo sitegemei kwakweli maaana hata tigo pesa iwe na 500,000 hawakati wala kuigusa hela yako na wanakudai.

Eatel kuna siku ntafunga macho paaaaap "ila ndio wasubiri nijazwe upako"
Du ulijitajidi hadi kufikia 420?. Hivi airtel Nanakopesha je?
 
Madeni yaacheni tu..unaweza jikuta kila wakati simu unaweka flight mode,au simu ikiwa on ikiita namba ngeni hupokei,yaani ni mashaka matupu..
 
Maisha n magumu Sana inshu sio kudaiwa inshu n utayalipa lini?

Mdada DSM 700k
Classmate Dom 300k
Jamaa DSM 400k
Mama c/o ndugu 1.1m
Shule watoto 1.25m
Nyumba zaman 300k
Mengine mengine madogo madogo 500k


Mungu nisaidie nipone vizuri nirudi barabaran nipambane vizuri nipate riziki niwalipe wanaonidai
 
Back
Top Bottom