valent
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 664
- 876
Ungekua uko jirani ungenikopesha mkuu. Ingekua poa sanaMwenyewe Niko hivo, nikimkopesha mtu, hio hela naitoa kwenye hesabu zangu na Sitaki ajisikie vibaya akiniona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekua uko jirani ungenikopesha mkuu. Ingekua poa sanaMwenyewe Niko hivo, nikimkopesha mtu, hio hela naitoa kwenye hesabu zangu na Sitaki ajisikie vibaya akiniona.
Nami hufanya hvo..nikimpatia mtu kitu nafanya kama nimekopa ila nakitoa kabisa kwenye moyo maana najua sitaweza kumdai. Akinilipa poa asiponipa poa
Ningekua natoa tu mkuu, ila kwenye biashara i do collect my debts... Kijamii i don't take any follow upUngekua uko jirani ungenikopesha mkuu. Ingekua poa sana
😂😂😂😂😂GHDuh!
deni la taifa mkuu umesahauMimi sidaiwi
Ni la jiwe na genge lakedeni la taifa mkuu umesahau
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ni la jiwe na genge lake
Deni linaongezeka kila siku
na deni la taifa mkuu au ushalilipa😏😏😏Mpawa 57750.
Huwa unamuona around? Ukute mtu hata kashakufa [emoji23][emoji23] halafu we unawaaaza.Milioni 2.
alikuja mzee kuwekeza dukani tangu mwezi wa 1 mwaka huu.
Mpaka Leo hajaja kuchukua vitu vyake.
Na hela nishakula [emoji2][emoji2].
Siku akija ndo siku yangu ya kwanza KUZIMIA.
kumbuka na la taifa mkuuNadaiwa 3000 ya Voda kifurushi [emoji849] na 2500 Vodacom Songesha
kuna wauza genge wanazidi liongeza😁😁😁😁kumbuka na la taifa mkuu