Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kwani zamani mahotel makubwa walikuwa hawauzi uyogaTeh Teh Teh Teh!
Zamani ilikuwa hizi mboga mboga wanakula wauswahilini ila ndio vyakula vinauzika mahotel makubwa boss wangu.
✓ Uyoga
✓ Mlenda
Majani ya mabogaPituku ni nini?
Yananoge zaidi kwa ugali wa dona uliochanganywa na unga wa muhogo. Tena ni matamu zaidi ukute yamechemhwa tu yakichanganyika na karanga zilizosagwa weeeeeHahaha kuuuumbe!
Sasa si mtaje kwa lugha ya kiswahili jamani,
Majani ya maboga yatiwe karanga kwa wali na rost la nyama pembeni, [emoji39]
Kaka mkubwa me na ugali tuna ugomvi wetu wa miaka mingi, nakula ugali kwa Dagaa kuwe na matembele pembeni basi, [emoji39]Yananoge zaidi kwa ugali wa dona uliochanganywa na unga wa muhogo. Tena ni matamu zaidi ukute yamechemhwa tu yakichanganyika na karanga zilizosagwa weeeee
Gagani [emoji38]Gagani
Lenda
Nafu
Yaleteeeeee pamoja na Nyama ya Ng'ombe ila mimi nitashushia na white wine, huku wewe unashushia na TogwaNikuletee leo uyapike,tupige,tushushie na togwa
Gagani/mgaganiGagani [emoji38]
Haya majina ya humu ni kiboko mtaje kwa kiswahili msitufanyie hivyo
Dahhhh....Guys hebu sibirini kwanza,
-Nsasa,
-Solilo,
-Pitiku,
Ndio nini?
Okita
Lol! Mpk hapo nimekuelewa kwlOkita
Anyim
Ndemra
Okita ndo imekaa aje?Okita
Anyim
Ndemra