Taja mboga za asili zisizopungua 3 zinazopatikana kwenu

Kaka mkubwa me na ugali tuna ugomvi wetu wa miaka mingi, nakula ugali kwa Dagaa kuwe na matembele pembeni basi, [emoji39]
Mara ya mwisho kula ugali ni aibu kusema kwenye hadhara, [emoji45]
Ahahahaaaaaaaaaaaaa
 
Nani amewahi kutumia hizi;
*Mswalu
*maharage/kunde zilizo
barazwa.
*mchunga
*msapagulo
*kihembe
*limbe (mkono gwa mbuli)
*unsolele (vi uyoga flani hivi vidogovidogo vyeupe,vinaota mara nyingi kwenye vichuguu)
*sungwi
umetisha ngosha[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…