Taja Mchezaji Mbovu Anayecheza Timu Kubwa

Man U kuna tatizo linawasibu. Unatakiwa kuexplain kwanini walishinda mfulilizo wakati ule ili uweze kueleza kwanini hawafanyi vizuri kwa sasa.
 
Wanasema ligi ya England mzee Ferguson alikuwa anawatembezea sana mlungula marefa wa wakati huo

Back
Top Bottom