Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mimi naanza na Jesse Lingard yupo Man Utd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Martial mtaalam.Wachezaji wote wa man u kasoro Pogba na degea tu
The best flop ever.Molinga
Man U kuna tatizo linawasibu. Unatakiwa kuexplain kwanini walishinda mfulilizo wakati ule ili uweze kueleza kwanini hawafanyi vizuri kwa sasa.
Nakataa kwa sababu factor kubwa anaitwa timu ya taifa three lionsCaptain wa liverpool
hadi UEFA champions league?Wanasema ligi ya England mzee Ferguson alikuwa anawatembezea sana mlungula marefa wa wakati huo
Umekosea mkuu, yanga sio timu kubwa!! Molinga hapo ni saizi yake!Molinga
Captain wa liverpool