Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
ilo jukwaa ntalipatajeMama angu hivi hauna access na Jukwaa la Wakubwa?
Oooooh!! Heaven Sent njoo binti yangu, unaitwa huku.
Kumbe nina ndugu na sijui๐๐๐ฟ
Ngoja afafanue labda kuna namna ameona๐ ๐Ila huyo jamaa, sijui kawaza nini.
Mimi sio mpenzi wa hizo R&b.Sio watu wa kuchangia thread za kipuuzi, wote mnapenda R&b za zamani, mna vibe zinaendana kabisa๐๐๐
๐๐๐Kumbe Edo nae huwa anavibe na RnB za kitambo e... Basi yaweza kuwa sisi ni mapacha wasiofanana.Sio watu wa kuchangia thread za kipuuzi, wote mnapenda R&b za zamani, mna vibe zinaendana kabisa๐๐๐
The Mongolian Savage na MaghayoTaja member wawili ambao unahisi ni Ndugu humu?
Binafsi
ndege JOHN na Viatu vya Samaki hawa ni ndugu wa tumbo moja kasoro tarehe tu.
CC Zero IQ