BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Niamini mm mkuuWatu wa humu ni waongo sana, siyo wa kuaminika kabisa
Duh! Wengine wanabadili ID then wanaunyutiKuna mmoja nimemuona mara yake ya mwisho kuingia humu ilikuwa 2015
Sawa Mbaga Mungu akusaidie upate kaziNiamini mm mkuu
AmenSawa Mbaga Mungu akusaidie upate kazi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ID ya nyumban na ya ofisini
Nafikiri huu uzi uliusahau[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kitambo sanaNafikiri huu uzi uliusahau
😂😂Mtu anaitwa Viatu Vya Samaki..hahaha!!
Tilaatilah,Musahaamba,Choicevariabo,hawa nawaza ni pacha kwa baba na mama mmoja ila bahati mbaya hawakupata malezi stahiki.?Taja member wawili ambao unahisi ni Ndugu humu?
Binafsi
ndege JOHN na Viatu vya Samaki hawa ni ndugu wa tumbo moja kasoro tarehe tu.
CC Zero IQ