kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Hadi mwezi wa 6 tar 12, hilo Cinderella kuna mtu anatumia nimeonahaha si umebadilisha majuzi, watakubali tena.
Jiite Cinderella 🙂
Hadi mwezi wa 6 tar 12, hilo Cinderella kuna mtu anatumia nimeonahaha si umebadilisha majuzi, watakubali tena.
Jiite Cinderella 🙂
Na venye unatakiwa upanbane na unga iko bei khaiiNilikuanga nahisi mambo ya huku ni kama ya Tz.
haha sasa unataka lipi Miss SayuniHadi mwezi wa 6 tar 12, hilo Cinderella kuna mtu anatumia nimeona
Yeah! Hapo si litakuwa fiti?haha sasa unataka lipi Miss Sayuni
Wanatukana Sana wapuuzi hao vijana ikiwezekana tuwafuatee tukawateke tuwalete huku tuwafinye kidogo natania tuu bandugu 😁Wanajivunia kingereza eti wanasema midomo ya watanzania Ina ujauzito wakati wa kuongea kiinglish.
Tofauti na kujua kingereza na kuwa na uhuru wa kutoa maoni wakenya tuko nao sawa kwenye vitu vingine.
Tena katika kaunti ya Mombasa watu wana mudomo sana vile wanajua Kiswahili ukikompea na watu wa Nairobi.Na venye unatakiwa upanbane na unga iko bei khaii
Na venye mama mumemuchokoza asitu blokie borderTena katika kaunti ya Mombasa watu wana mudomo sana vile wanajua Kiswahili ukikompea na watu wa Nairobi.
Sasa nikaona ni muzuri nikiagiza baadhi ya food huko Tz and this is just for survival 😎.
Hawana lolote wala chochote. Walichotuzidi ni uhuru wa kutukana viongozi wao pia Wana ukabila sana Hawa jamaa.Wanatukana Sana wapuuzi hao vijana ikiwezekana tuwafuatee tukawateke tuwalete huku tuwafinye kidogo natania tuu bandugu 😁
Ingekuwa muzuri mama akiongea na Zakayo ili kuyamaliza juu TZ na Kenya ni friends na tumeanza urafiki toka Kenyata na Nyerere wako alive.Na venye mama mumemuchokoza asitu blokie border
Hakika 🙂Yeah! Hapo si litakuwa fiti?
Na kwetu ni huko dawida, voi juu Christmas hii ntakuja ushagooIngekuwa muzuri mama akiongea na Zakayo ili kuyamaliza juu TZ na Kenya ni friends na tumeanza urafiki toka Kenyata na Nyerere wako alive.
Karibu sana. Hadi disemba nitakuwa mwenyeji mkubwa sana huku.Na kwetu ni huko dawida, voi juu Christmas hii ntakuja ushagoo
Pamoja mkuu, weekend njemaHakika 🙂
Usinifananishe na watu wakubwa, mnanionea 😂
Mh! Kwani wewe wa afu2😁😁Usinifananishe na watu wakubwa, mnanionea 😂
Watu wakubwa I mean wamenizidi kimaisha 😎Mh! Kwani wewe wa afu2😁😁
Wewe unajuaje kama wamekuzidi?Watu wakubwa I mean wamenizidi kimaisha 😎
Cha kwanza mm jobless 😎Wewe unajuaje kama wamekuzidi?
Watu wa humu ni waongo sana, siyo wa kuaminika kabisaCha kwanza mm jobless 😎
ID ya nyumban na ya ofisiniHapa ndio pakujua wenye ID zaidi ya moja