Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hapo kwa NAIBU YESU 😊Sijamboa! Sasa hivi nimahamia nchi Niko Kenya napiaga dili huku mombasa.
Niko kwa ardhi ya Zakayo.
Hapo kwa NAIBU YESU 😊Sijamboa! Sasa hivi nimahamia nchi Niko Kenya napiaga dili huku mombasa.
Niko kwa ardhi ya Zakayo.
Naam bruhImekua powaa kabisa ndugu yangu wa dhati kabisa.
Ndiyo Mkuu. Karibu sana tupige dili Kali Kali 😎.Khaiii uko na kina mwendee,
Hahaha 😂.Hapo kwa NAIBU YESU 😊
Elfu moja yangu ulisema juu ungetumana mpk saa hii surelyNdiyo Mkuu. Karibu sana tupige dili Kali Kali 😎.
Nilipanga nikutumiange lakini nilibanwa na shughuli hadi nikasahau.Elfu moja yangu ulisema juu ungetumana mpk saa hii surely
Na juu unakaa mkora em tumanga hiyo Doo khaii, au tukuvamie tuharibu amani yakoNilipanga nikutumiange lakini nilibanwa na shughuli hadi nikasahau.
Nimesikitika sana 🙂
Kwasababu wote mnapenda kusikitika😁😁😁Nimesikitika sana 🙂
Kwanini unahisi hivyo Miss Sayuni
Jamaa wamekiwasha balaa huko 😊 kenya.Hahaha 😂.
Ndiyo Mkuu.
😀 hahaha noma sanaKwasababu wote mnapenda kusikitika
Kama jina lako mkuu😁😁😀 hahaha noma sana
Hahah kidogo nijiite The NomadKama jina lako mkuu
Wakora juzi walini ambush wakachukua Doo zote nikaanza kulia na juu mimi ni kapera sikuwa na wakuni-calm down.Na juu unakaa mkora em tumanga hiyo Doo khaii, au tukuvamie tuharibu amani yako
Wanajivunia kingereza eti wanasema midomo ya watanzania Ina ujauzito wakati wa kuongea kiinglish.Jamaa wamekiwasha balaa huko 😊 kenya.
Wanasema mwanafunzi wa form two kenya ni university material Tanzania.
Na mimi nachenge hii Binti niweke Miss itakaaje😁😁Hahah kidogo nijiite The Nomad
Ooh na ukuange makini, juu huku hatutak watoto kma mayai ,Wakora juzi walini ambush wakachukua Doo zote nikaanza kulia na juu mimi ni kapera sikuwa na wakuni-calm down.
Nataka nimweka ndani bibi this year ili anitulize nikiwa kwa this situation.
haha si umebadilisha majuzi, watakubali tena.Na mimi nachenge hii Binti niweke Miss itakaaje
Nilikuanga nahisi mambo ya huku ni kama ya Tz.Ooh na ukuange makini, juu huku hatutak watoto kma mayai ,