Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Nyie kila mwaka ni kulia tu, sijui lini mtanyanyua Makwapa asee 😎Livakuku wamebahatisha msimu huu ngoja chama la kibabe tukajipange msimu ujao mtakuwa mnatuchungulia tu sisi tuko mbele😁😁
Nyie kila mwaka ni kulia tu, sijui lini mtanyanyua Makwapa asee 😎Livakuku wamebahatisha msimu huu ngoja chama la kibabe tukajipange msimu ujao mtakuwa mnatuchungulia tu sisi tuko mbele😁😁
Lucas Mwashambwa na TlaahtlaahTaja member wawili ambao unahisi ni Ndugu humu?
Binafsi
ndege JOHN na Viatu vya Samaki hawa ni ndugu wa tumbo moja kasoro tarehe tu.
CC Zero IQ
Sawa ngoja nikusikilize Mwanasheria wangu 🤐kaa kimya siku hz sheria sio msumeno
Na Tukianza hatuachi mpakaNyie kila mwaka ni kulia tu, sijui lini mtanyanyua Makwapa asee 😎
Unajitekenya na kucheka mwenyewe 😂😂Na Tukianza hatuachi mpaka
Nyie tudharauni tu ipo siku utaomba kuwa shabiki wa arsenal 😎😎Unajitekenya na kucheka mwenyewe 😂😂
Nimesema mimi kushabikia Arsenal bora mniue 🤣🤣Nyie tudharauni tu ipo siku utaomba kuwa shabiki wa arsenal 😎😎
Kwa nini unaichukia hivyo arsenal 😁😁Nimesema mimi kushabikia Arsenal bora mniue 🤣🤣
Jibu ni simple Man U na Arsenal ni kama Simba na SwalaKwa nini unaichukia hivyo arsenal 😁😁
Arsenal ndo simba 😎😎Jibu ni simple Man U na Arsenal ni kama Simba na Swala
Angalia mpangilio wa sentensi utapata majibuArsenal ndo simba 😎😎
Hao kweli ni ndugu maana wana partnership nzuri sana.
Hajambo mjomba wetu makulu hapo idodomia?Hao kweli ni ndugu maana wana partnership nzuri sana.
Sijamboa! Sasa hivi nimahamia nchi Niko Kenya napiaga dili huku mombasa.Hajambo mjomba wetu makulu hapo idodomia?
Khaiii uko na kina mwendee,Sijamboa! Sasa hivi nimahamia nchi Niko Kenya napiaga dili huku mombasa.
Niko kwa ardhi ya Zakayo.
Imekua powaa kabisa ndugu yangu wa dhati kabisa.